Naam, ni kutoka kwenye Biblia, pia yasema " Wema watawalapo watu hufurahi ila waovu watawalapo, watu huugua. Katika kutafakari neno hili nami nikaona si watu linalougua bali wapenda haki ndio...
Kijana mmoja toka korea anayejihusisha na Masuala ya content kupitia YouTube aliweza kufanya jaribio la kukunja simu mpya ya Samsung Galaxy Z fold 7 mara 200,000 akiwa Live Stream.
Wakati wa...
Vitendo vya ukatili wa kijinsia vimeripotiwa kuendelea kuongezeka visiwani hapa ambapo Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali inaonesha matukio hayo yakiongezeka kutoka matukio 1,222 mwaka 2021 hadi...
Kutokana na uzoefu mdogo nilionao wa kufuatilia hoja na kuunganisha nukta zake huku nikijaribu kurudi nyuma ya misukumo iliyopo nyuma ya hoja nimeweza kubaini kuwa nabii nyingi zinazotolewa...
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Kitengo cha Hati, imeendesha kikao kazi cha siku mbili kilichowakutanisha Wasajili wa Hati Wasaidizi kutoka mikoa mbalimbali nchini, kwa...
Wilaya ya Mbarali inasikitisha kuona barabara ina zaidi ya miezi nane hadi kumi, ikiwa imewekwa vifusi na havijasambazwa kwa kipindi cha muda mrefu.
Ni kama imetelekezwa pasipo kuendelezwa ujenzi...
Habari wana JF,
Naomba mamlaka za RITA makao makuu zifanye uchunguzi wa kiutendaji katika taking la RITA MISUNGWI
Kwanza, Kuna mtu alienda kufanya marekebisho ya cheti Old to New wakamwambia ni...
TAMISEMI tunaomba ufafanuzi zidi ya baadhi ya watumisi kupatiwa vibali vya uhamisho kimya kimya pasipo na kutolewa orodha ya majina ya waliyopata vibali kwenye official website zenu, ikiwa baadhi...
Ukweli, sisi unaotupigania hatujui tunataka nini; wengi wetu ni keyboard warriors, tunahamasishana mitandaoni. Lakini, on the ground, wengi wetu ni watumwa wa huu mfumo wa fisiemu. Tunakukumbuka...
Magonjwa yanayoogopwa zaidi duniani kulingana na kila bara, kwa kuzingatia kiwango cha maambukizi, vifo vinavyosababishwa, hofu ya jamii, na athari kwa uchumi au maisha ya kila siku.
1. AFRIKA...
Baadhi ya waombelezaji wakiaga mwili wa mtunzi na mwimbaji wa nyimbo za hamasa za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), George Mwingira aliyetamba na wimbo wa 'No reforms no election.'...
Isa 39:6 SUV
[6] Tazama, siku zinakuja, ambazo vitu vyote vilivyomo nyumbani mwako, na hivyo vilivyowekwa akiba na baba zako hata leo, vitachukuliwa mpaka Babeli; hapana kitu cho chote...
Kikawaida kwa mujibu wa sheria Mkuu wa ujasusi wa nchi husika au wakati mwingine Chief of presidential staff anawajibu wa kupeleka taarifa nyeti na za muhimu kwa Rais. Lakini hawa hawa wakuu wa...
Siasa wafanyie wabongo lala, leo hii jiwe angekuwa kuwa hai tusingemaliza bando zetu kuangalia ma press yao hao, wangekuwa kimya regardless changamoto za hapa na pale.
Ndio wana point ila ni za...
Hivi wewe mtoto wa kiume straight unakuaje Inspired wa mafanikio kutoka kwa Mwanamke au Shoga.
Yani unakuta mwanaume kabisa anasema anatamani kuwa pesa na magari kama Jenifa yule muuza nguo Sinza...
Ni ujinga wa hali ya juu kama unaishi na Kulala sehemu nzuri hali ya kuwa wazazi wako waliokupambania mpaka kufika hapo wanalala kwenye dhiki.
Wanalala chini
Kwenye Godoro kama ulimi wa mbwa...
Yeah , kujipendekeza kwa watawala, kushangilia mafisadi wakitumia pesa hovyo na hata kukubali kuhongwa baiskeli,pikipiki n.k ambazo obviously zimenunuliwa kwa kodi zetu tunazokamuliwa kila...
UBINADAMU NI AMANI
HISTORIA NI VITA.
ebu chukua picha yako ya utotoni ujiangalie ulivyokuwa mdogo na ujiulize kama misimamo yako ya sasa ya kidini, itikadi na ukanda ilimaanisha chochote muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.