Leo nimekutana na school mate wangu wa O-Level. Her name is Munira.
Mimi nikiwa form 4, 2002 yeye alikuwa form 3. She was my friend.
I am 1 year older than her. In 2002 I was 16 and 17, she was...
Vodacom Tanzania Yasherehekea Miaka 25 ya Mafanikio na Wananchi TemekeVodacom Tanzania imeadhimisha miaka 25 ya kuwahudumia Watanzania tangu kuanzishwa kwake katika hafla iliyofanyika Agosti 15...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU mtakatifu sana
Tukio hilo limetokea Kilimanjaro
Inauma sana dunia tulikofika kwa sasa
Kilimanjaro imekuwa mbaya Zaid ya Geita na Tabora kwa...
Hofu kubwa imetanda kwa wananchi wa Kijiji cha Mbatakero,Wilaya ya Hai,mkoani Kilimanjaro kutokana na uvamizi unaofanywa na wafugaji wa Kimasai kwa Wakulima Maskini wa kijiji hiki huku uongozi wa...
Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuwasilisha dokezo akihoji Kiongozi gani wa juu ambaye anamlinda mtuhumiwa wa Ulawiti kwa Mtoto kutoka katika Kituo cha Polisi Kirumba, Mkuu wa Mkoa wa...
Habari ndugu jamaa na marafiki wa hapa jukwaani.
Ni siku nyingine tena tulivu kwenye uso wa dunia iliyojaa karaha, raha na makasiriko ya kila aina!!
Sote tunajua kuwa maisha ni safari ndefu sana...
Kuna kitu huwa sikielewi labda kwa sababu bado mdogo ila baada ya kuzika kuna vile vikao vinafanyika wanandugu kufahamiana ila naonaga vyote
NI mwendo wa Ku change ana Tu yaani...
Mara nyingi, ukipoteza kitu ndio unajua thamani yake! Huwezi kujua sana thamani ya macho yako mpaka uwe kipofu kwanza.
Ukipoteza uono, yaani macho yako yasipoweza kuona kwa muda mrefu, kisha...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Mashaka Biteko akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa programu ya utoaji majiko ya umeme kwa bei ya ruzuku kwa wafanyakazi wa TANESCO katika ukumbi wa...
Mama wa kijana aitwaye Taramaeli Emanuel, anayedaiwa kumuua mke wake Martha Pius mkoani Arusha, ameongea kwa huzuni kubwa akieleza mawasiliano yake ya mwisho na mwanae
Amesema mara ya mwisho...
Hili toto nimelilea limemaliza shule halitaki kutoka nyumbani huu mwaka wa 8 Sasa wakuu nashindwa kuelewa toto kama Hilo haliwazi hata future yake na familia yake nawaza jinsi ya kulifukuza aisee...
Huu ni Ujumbe kwenu wote mlio hapa JF na kwingineko, hakuna rafiki mitandaoni, hakuna na wala hajawahi kuwepo.
Naunga Mkono Chadema lakini sina Rafiki hapa JF wala kwingineko mitandaoni eti kwa...
NUKUU ZA LEO;
1. “Madaraka hulevya, lakini madaraka makubwa hulevya chakari.” Lord Acton.
2. "Binadamu wote ni sawa, lakini baadhi ya binadamu wana usawa zaidi kuliko wengine" George Orwell...
Watu 50 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Geita kwa tuhuma za kuchoma hifadhi ya msitu na kufanya vurugu.
Katika taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Agosti 15, 2025 na Kaimu Kamanda wa Polisi...
Hali ya sintofahamu imeibuka katika Jimbo la Mbarali, Mkoani Mbeya baada ya baadhi ya wananchi kutishia kususia Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025, wakipinga matokeo ya kura za maoni...
Balozi Nchimbi Nyerere alionya vijana wa Tanzania wasikubali kupotoshwa.
Ameeleza kuwa baba wa Taifa alitamani kuona taifa lina wasomi ambao watalitumikia taifa.
"Ndiyo maana baba wa Taifa...
Niliagiza mzigo kutoka dar kuja kigoma jana tar 15/08/2025 kupitia ATCL kutokana na uharaka niliokuwa nao, ambapo mzigo huo ulifikishwa saa 4 asubuhi na ratiba ya ndege ilikuwa inaonyesha...
Salaam Afrika ,Salaam Wana na Binti wa mama Afrika,Enyi watu wake aliyewaridhia.ni ndoto ya kila mwafrika wa kweli mwenye maono ya ukombozi kuona waafrika wanakuwa kitu kimoja,wanakuwa taifa moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.