Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Makanisa na misikiti kutolipa kodi ni RuSHWA kwa viongozi wao ili wasikemee maovu au ili waitetee serikali kwa uovu wake. Kwa misingi hiyo makanisa na misikiti anze kitoa stakabadhi za malipo za...
2 Reactions
9 Replies
419 Views
Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imeanza rasmi ujenzi wa daraja jipya la kisasa katika eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kudumu wa kuondoa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nasikia jamaa ana nguvu sana ya Mungu, naomba mwenye kumfahamu vyema atufahamishe habari zake, maana Dar sasa ni Jiji la kinabii. Nasikia anapatikana Mabibo Jeshini
10 Reactions
78 Replies
15K Views
Leo nilitembekea Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) Kinondoni, nikakuta wameweka Bango kubwa lenye majina na namba za Viongozi. Hii si kawaida, kukuta majina ya...
2 Reactions
6 Replies
330 Views
Mimi na miaka 14 kwenye soko la forex ila sio mafanikio ya haraka watu wanavofikilia.nimeona malalamiko mengi hapa JF bora kueleza ukweli. Asilimia kubwa forex ni High risk na inaweza kukuweka...
28 Reactions
462 Replies
24K Views
Mara Chache sana huwa nalala Nyumbani, Kama Leo, hii nipo nyumbani ila nawaza niondoke nikalale Sehemu ingine. kwa Wajuzi wa mambo hii Tabia inatokana na ninini. Sipendi hii hali,Natamani...
8 Reactions
80 Replies
3K Views
Anonymous
Wakazi wa Tabata Banebane eneo la Katoma, kipande hicho hakina maji ya mgao wala maji ya aina yoyote kwa kipindi cha miezi 5 na zaidi. Majibu ya wahusika ni kwamba ooh kuna merekebisho...
0 Reactions
0 Replies
294 Views
Na Mwl Mikael Aweda Naanza kwa kuuliza swali la kushtua kidogo. Je, wajua kuwa mfumo wa shule zetu nyingi Afrika unachangia wewe kuwa maskini?? Bila shaka hilo hi swali la kushtua kwako na...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Soma waefeso 4.mstari wa 26 na 27 ondoa moyoni..uchunguu kuna mtu moyo wake sa hii umejawa maumivuu ondoa huoo uchunguu Mungu akubariki Akutie nguvu
0 Reactions
0 Replies
182 Views
Naangalia clips mbalimbali online zinaonyesha baadhi ya matukio ya kuhatarisha maisha ya wanaokwenda mbugani. 1: Nimeona Tembo kavamia hoteli ya watalii. Anabomoa bati huku wapishi wanamponda...
9 Reactions
43 Replies
1K Views
Duh, kama hizi ndio faida za bia/pombe, basi akili zetu zinahitaji 'reforms'" Kaa siti ya mbele, nikusimulie vituko na mikasa ya kweli iliyosababishwa na wanywa bia/pombe, halafu ujibu swali...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
KAA MBALI NA ZINAA Michepuko ni malaya waliochangamka, dada wa shetani na mashine ya ilioundwa kutoka sodoma kwa ajili ya mapenzi thus kuhusu aibu na majuto, sahau kabisaaa. Anafurahia kwa maana...
1 Reactions
2 Replies
292 Views
Unakumbuka sakata la mrembo Jacqueline Obeid a.k.a Poshy Queen na Hamisi Kigwangala? Sasa Mwanasiasa Hamisi Kigwangala amezungumzia tuhuma zilizomwandama kuhusu mrembo Poshy Queen na pisi kali...
2 Reactions
6 Replies
957 Views
Foleni ya kwenda kibaha imeanzia eneo linaitwa kwa Komba ni ndefu inaweza kufika urefu wa kilometa 2 au 3. Wahusika wasaidieni hawa wananchi waendelee na mishe mishe zao
1 Reactions
2 Replies
272 Views
Isa 40:29 SUV [29] Huwapa nguvu wazimiao, humwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo. Sio ajabu siku za leo kukutana na ndugu katika BWANA amechoka sana, hana hamu tena na ibada, huduma, na ile...
1 Reactions
1 Replies
268 Views
Jumapili Julai 20, 2025, bibi Mkazi wa Nyakato, Mwanza akiwa ametoka Kanisani akaenda kwenye shughuli zake nyingine, aliporejea nyumbani majira ya usiku akamuona mjukuu wake wa kiume mwenye umri...
10 Reactions
55 Replies
3K Views
Siku haiwezi pita bila kunywa pepsi au coca, na nimefabya hivi kwa muda mrefu sana hadi naanza kuhofia afya yangu mbeleni. Pia mimi ni mraibu mkuu wa sex hadi huwa nahisi kuumwa nisipoipata in 2...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Wakuu hivi naomba kuuliza hivi CRDB BANK wanakata malipo ya huduma ya kutunza fedha kila siku na kwa kila muamala unaoingia mana dah sio kwa haya makato yanayoendelea yani hela ikiingia tu...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Nimefanya transaction kwa mobile phone. Nimetoa kwa wakala na hichi ndicho kilichonistua.... Salio lako jipya ni TSh xxxx. Umetuma pesa kwa Wakala - xxxxxxx xxxxxx kiasi TSh 20,000. Jumla ya...
18 Reactions
121 Replies
5K Views
Back
Top Bottom