Wakuu nimeibiwa simu na ina simcard ina savings zangu zote, sasa nashindwa kurenew simcard sababu alienisajilia nimetafuta bila mafanikio, naomba msaada kwa mnaofahamu hizi mambo.
Kwenye...
Nimesoma Nyuzi, Hapa Jamaa anasema Ndoa imemshinda,
Katika ulimwengu huu, Furaha ya kweli ni Wewe mwenyewe usitegemee kupata Furaha Kutoka kwa watu pasipo wewe kujipa Furaha.
Tumia Fedha Mali...
Kwa wenyeji jijini Dar es Salaam bila shaka mtakuwa mmeshakutana na haya ma Land Cruiser mapya mapya ya kuanzia kuanzia miaka ya 2020s yenye namba 'A', tena number plate zenyewe zinaegeshwa tu...
Majority uetu tunaweza kujifarijiana kwamba tuipigie kura CCM itoke kwenye kiti cha enzi. Tukiachana na vyombo vya dola kulinda Hii state party (hii ya kuipa vyombo vya dola kuishikilia ccm...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema changamoto ya wagonjwa wa figo nchini imeongezeka kwa kiwango kikubwa katika miaka ya hivi karibuni kutokana na watu kutumia lishe isiyo bora, ulaji...
Watanzania tulio wengi tumeshindwa kabisa kufanya biashara ya pamoja kama wanafamilia au watu wa ukoo mmoja kwanini?
Tofauti na jamii za kiarabu, kihindi na hata familia nyingi za kizungu...
Binafisi mimi nimetokea kwenye familia ya wafugaji wa mifugo karibia yote yaani mbuzi,kondoo na hata ng'ombe .
kipindi tukiwa tunachunga ilikuwa ni fahari sana kulisha mazao ya wakulima tena...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU mtakatifu sana
Mkuu wa usalama wa taifa siyo mali ya kikundi flan cha watu bali ni mali ya watanzania wote
Kwa kuwa ni mali ya watanzania...
Akilini mwangu, tangu nikiwa mdogo shule, ilijengeka taswira nzuri sana kuhusu mkoa wa arusha. Vivutio vya utalii, ile kwamba no Geneva ya Afrika n.k vilinichanganya sana akili kiasi ilijengeka...
Duh, juzi ilikua kwamba hairuhusiwi kucheka sana kwenye uislamu, kumbe hata muziki ni haram, unapaswa mnuniane tu maisha yaende.
Hawa hapa masheikh, sio maneno yangu...
Huu ujumbe uifikie taasisi yenye dhamana ya kuhifadhi mazingira. Sio siri kwa Mtanzania wa kawaida anakerwa na baadhi ya RAIA hasa maeneo ya vijijini kufungulia hoofer za kichina sauti za juu hadi...
BADO SIKU 8: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii
KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili
Usijilazimishe kufanya kila kitu. Tambua mipaka yako na heshimu muda...
Hili jiji la arusha ambalo linasifika kwa utalii na ambalo lina historia nzuri ya kutoa wasanii, waigizaji na watangazaji maarufu, sifa zake kwa nje ni nyingi na nzuri sana. Ila kwa uhalisia...
Wakuu mambo vipi
Kuna muda unakaa unawaza hakuna muda uliwahi kuishi kwa furaha unahisi shida ulizopitia ni nyingi kuliko siku za furaha na maisha nyumbani sio mabaya sana wazazi wote wapo ila tu...
Kwenye uislamu hairuhusiwi kucheka sana, haijaelezwa huko kucheka sana ndio kupi, kwa hivyo waislamu wanaohudhuria commedies na kucheka yao yote wajue wanatenda dhambi.
Eti ukicheka sana inaua...
Tangu karne za zamani civilisations nyingi zimekuwa zinajenga majengo ya kustaajabisha sana kasoro ya Waafrika weusi tu. Mpaka sasa hivi bado hali ni hiyo hiyo tu. Shida ni nini?
Hembu linganisha...
Je, tatizo la Afrika ni la kiuchumi, kiutamaduni au kisiasa? Je, ni ukosefu wa vipaji au rasilimali? Au ni bahati mbaya ya kihistoria
Maswali haya yanaulizwa kila mara, lakini jibu halisi...
Anaandika Ndugu MalisaGJ
TATIZO LA KUJIUA KATIKA JAMII
"Kwako mke wangu
(Mama Derick). Naomba nisamehe sana kwa maamuzi haya. Maisha kwangu hayana maana tena, nisamehe sana. Nimejitahidi...
Tunashangazwa na kelele za jirani zenu CRDB Bank makao makuu, Ali Hassan Mwinyi. Mfano leo tangu saa 11 alfajiri wanefungulia mziki mkuubwa wakati muda huo hakukuwa na watu hata 10. Na mara zote...
Wanasayansi waja na kondomu ambazo zinabadilika rangi pindi inapo gundua kama una maambukizi ya magonjwa ya zinaa kama gonorrhea na kaswende.
Wanetu mtaacha ndala🩴
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.