Naomba tu kusikia kwenu wadau!
Kuna bidhaa huko Mtandaoni hasa Instagram Zile za "FREE shipping/Transport Pay on delivery"
Zinakuwa na picha ya bidhaa, video n.k zikionesha ubonyeze kitufe ili...
Habari za mchana wana jamvi naomba kuuliza vidonda vya tumbo na hylori ni vitu vinavyotegemea?namaanisha kwamba unaweza kupima h-pylori hlf kwenye kipimo iko iko doctor akagundua una vidonda vya...
MTOTO WA MO AKIJIANDA KUENDESHA MALI ZA FAMILIA ZILIZO TAFUTWA TANGU ENZI ZA MABABU ZAKE HUKU MIMI NIKIJIANDAA KURITHI JINA NA UKOO NA LAANA WANAZO NIPA NDUGU AMBAO SIWAPIGII SIMU.
Kitu kipekee...
KUWASHWA KWA KIGANJA CHA MKONO NA KUCHEZA KWA JICHO KUNAKUPA TAARIFA ITAKAYOTOKEA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nafsi yako inaรฑamna mbalimbali za kuwasiliana na wewe(mwili wa nje) Kwa namna...
Usimwanike mtoto wako mtandaoni. Usimwanike mwenzi wako mtandaoni.
Usianike mali zako mtandaoni. Usianike bata zako mtandaoni.
Kuna siku utatamani kufuta itakuwa too late wenzako wameshadownload...
๐ฏ๏ธ Japan imefanikiwa kuweka rekodi ya Dunia kwa kuweza kutengeneza ukuta mkubwa Wenye urefu wa kilomita 395 wakiambatanisha na Miti milioni 9 ili kuweka ulinzi kwenye fukwe kupitia Nguvu za Asili...
Wadau , tupeane mbinu za kukwepa kula chakula ugenini pale unapokaribishwa Pasipo kuzusha sintofahamu kwa wenyeji wako hadi wajisikie vibaya..
Na sababu za kutokula ugenini kunaweza changiwa na...
Nyie viongozi wakati mwingine muone haya kama asemavyo aliyekuwa mwenzenu Polepole!
Ni kweli pengine polepole alikuwa kama nyinyi lakini Kaona haya moyoni mwake akaamua kutubu hadharani kwetu...
BINADAMU yuko katika sehemu kuu 3 .
1. Mwili
Huu mwili unaishia hapahapa mavumbini kwa waovu na wema. Kwenye mwili ndiko nafsi na roho hukaa kuweka makazi.
2. Nafsi
Nafsi ni mjumuisho wa akili...
Katika zama hizi za teknolojia ya hali ya juu, akili unde(AI) imeingia katika kila nyanja ya maishaโikiwemo mazungumzo kuhusu imani, maadili, na tabia. Jina maarufu la AI linalosikika mara kwa...
Nianze kwa kusema Watoto si Baraka, Watoto ni Gharama.
Kabla hujafikiria kuleta kiumbe kwenye hii dunia tambua hili mapema.
Kabla ya kufikiria kuzaa watoto hapa duniani, Kaa chini wewe na mwenza...
Nimepata uamisho kuelekea Isimani-Iringa, mwenye taarifa na eneo hili naomba anisaidie kujua fursa za uchumi zilizopo, pia tamaduni za watu wa huko pamoja na changamoto mbalimbali zilizopo ili...
Hili ni swali zito na linahusisha imani, utamaduni, historia, na tafakuri ya kina ya kiroho na kijamii. Kama ningekuwa mwanadamu mwenye akili timamu na ninatakiwa kuchagua kati ya Uislamu na...
Haloteli acheni wizi wa MB mnachofanya ni ujinga Sana .
Wiki hii nzima mmekuwa mkiibia watu MB.
MTU anajiunga GB 1 inakatika kwa kusoma post za JF tu . hata maswaa mawili hayafiki na hajatazama...
Huko x na instagram kuna watu wanashangikia kifo cha mkurugenzi wa kitengo. Nadhani serikali inapaswa kukanusha ili kuondoa taharuki. Pia wanao shangilia wajitahidi kuzuia furaha yao maana huo si...
Hawa Ipp media ni wana ukabila sana aisee yaani crew yao mzima ni wachaga kwanzia MD mpaka mfagizi ni wachaga watupu hivi kwamba watu wa makabila mengine hawapo mpaka muajiri wachaga tu? Sio kama...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), chini ya mamlaka iliyopewa kwa mujibu wa Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta, Sura ya 306, na Kanuni zake ina wajibu wa kusimamia huduma za...
Wakurya ni jamii duni ambayo Serikali inabidi kuitazama na kuhakikisha inafundishwa Emotional intelligence.
Hawa Jamaa kuuana ni jambo la kawaida Sana kwao.