Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu wasomaji Kama mnavyojua soko letu la kariakoo inavyopiga kazi kwa biashara lakini kwa saivi fujo zimezidi sana maana machinga wapo kila kona inakuwa usumbufu kwa sisi wafanyabiashara...
1 Reactions
5 Replies
418 Views
Jibuni hili swali ; KENYA v/s MOROCCO nani alifungwa ? Acheni kukatisha watu tamaa likiwemo benchi la ufundi. Kama wewe ni mzalendo wa kweli toa maoni yako hapa tutayafanyia kazi "Kama...
0 Reactions
2 Replies
374 Views
Jeshi la Polisi Tanzania lipo kwa mujibu wa sheria mama yaani Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 147. Moja ya majukumu yake kwa mujibu wa sheria mbalimbali ikiwemo Sheria ya Polisi...
0 Reactions
0 Replies
273 Views
Wale wanaopata maumivu kwenye joints (Wenye gout, rheumatoid, arthritis n.k) fuaustina pamoja nami MAGANDA YA MANANASI YANATIBU 🌿Homa ya matumbo 🌿Glaukoma 🌿Arthritis, maumivu ya viungo (Joint...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Uchaguzi Usio na haki ni laana, Hatuwezi kushiriki laana hiyo kwa mabango, nyimbo wala kwa kutiki wagombea haramu pasipo haki. Haki huinua taifa, Taifa haliwezi kusonga kama watu wake...
6 Reactions
10 Replies
500 Views
Kanisa Kuu la Córdoba, pia linalojulikana kama Msikiti-Kanisa Kuu la Córdoba (Mezquita-Catedral de Córdoba), ni la kipekee kwa sababu ya historia yake ya ajabu na usanifu. Awali, ujenzi huo...
1 Reactions
0 Replies
447 Views
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Ahmed Makarani amethibitisha tukio la kuuawa kwa mwanafunzi wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Qash iliyopo wilayani Babati, mkoani Manyara, Yohana Konki...
0 Reactions
3 Replies
485 Views
Kadiri tunavyokaribia uchaguzi mkuu mwezi Oktoba, ni muhimu kama Watanzania kuungana kwa sala, maombi na mshikamano tukiliombea taifa letu. Tuombe uchaguzi uwe: ✅ Wa amani – Usio na vurugu wala...
0 Reactions
8 Replies
370 Views
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Haya majanga ya kiasili kama maporomoko ya ardhi, matetemeko ya ardhi ,tsunami pamoja na vimbunga vya msimu kwa kiasi kikubwa huangamiza idadi kubwa ya watu.. Sisi tutaendelea kujifariji na...
1 Reactions
5 Replies
271 Views
𝗨𝗭𝗜𝗡𝗗𝗨𝗭𝗜 𝗪𝗔 𝗪𝗜𝗞𝗜 𝗬𝗔 𝗛𝗨𝗗𝗨𝗠𝗔 𝗭𝗔 𝗨𝗦𝗧𝗔𝗪𝗜 𝗪𝗔 𝗝𝗔𝗠𝗜𝗜 KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Mazoezi huchochea homoni ya furaha, Tembea, kimbia, au fanya mazoezi mara kwa...
0 Reactions
0 Replies
281 Views
Wakuu habari zenu? Naomba mwenye msaada wa kimawazo tafadhali.
1 Reactions
9 Replies
442 Views
Wahenga wa muziki wa dansi nchini hebu tukumbushane kisa hicho cha kweli na Nini hatima yake. Nakala kwa Mtangazaji mkonhwe na Manju wa Muziki Masoud Masoud
0 Reactions
11 Replies
766 Views
Chemsha ubongo kidogo...... Wewe dereva wa basi..... Basi moja lililokuwa na jumla ya abiria 30 lilikuwa linafanya safari zake kutoka magengo kuelekea patwe. Baada ya mwendo kadhaa basi...
0 Reactions
4 Replies
581 Views
Licha ya kuwa Mimi ni mwanachama hai na kindakindaki wa CHADEMA, ila siungi mkono na nalaani vikali barua yetu yakuishitaki Yanga sc huko Fifa! Nasema kwa hili la Yanga sc ,mmepuyanga , Yanga...
2 Reactions
14 Replies
926 Views
Dar es Salaam, 17 Agosti 2025 - Maelfu ya wakimbiaji na wapenda michezo kutoka ndani na nje ya Tanzania wamejitokeza leo katika viwanja vya The Green, Oysterbay, kushiriki CRDB Bank Marathon 2025...
1 Reactions
1 Replies
582 Views
Wasalaam. Ni kitambo Sasa namiliki simu haswa smart phones (Simu janja). Tangu nianze kumiliki smartphone na umri wa miaka 25 Huwa siweki simu mfuko wa suruali niliyovaa na kutembea nayo haswa...
4 Reactions
28 Replies
832 Views
Naomba tu kusikia kwenu wadau! Kuna bidhaa huko Mtandaoni hasa Instagram Zile za "FREE shipping/Transport Pay on delivery" Zinakuwa na picha ya bidhaa, video n.k zikionesha ubonyeze kitufe ili...
6 Reactions
33 Replies
1K Views
Habari za mchana wana jamvi naomba kuuliza vidonda vya tumbo na hylori ni vitu vinavyotegemea?namaanisha kwamba unaweza kupima h-pylori hlf kwenye kipimo iko iko doctor akagundua una vidonda vya...
1 Reactions
2 Replies
412 Views
MTOTO WA MO AKIJIANDA KUENDESHA MALI ZA FAMILIA ZILIZO TAFUTWA TANGU ENZI ZA MABABU ZAKE HUKU MIMI NIKIJIANDAA KURITHI JINA NA UKOO NA LAANA WANAZO NIPA NDUGU AMBAO SIWAPIGII SIMU. Kitu kipekee...
4 Reactions
8 Replies
472 Views
Back
Top Bottom