Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mdau Je, unaweza kutofautisha video halisi dhidi ya zile zilizotengenezwa kwa Teknolojia ya Akili Unde? Mtu mmoja alichapisha video hii hapa chini katika mtandao wake wa kijamii na kueleza kuwa...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amewataka viongozi wa vyama vya siasa nchini kuhakikisha kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025 zinafanyika kwa kistaarabu, bila kutumia lugha za...
0 Reactions
3 Replies
373 Views
Mtendaji Mkuu wa Wakala Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta, amesema ujenzi wa madaraja katika barabara kuu ya Dar es Salaam–Lindi (T7) unaendelea kwa kasi kupitia mpango wa...
0 Reactions
0 Replies
210 Views
Moja ya hadithi zinazotajwa ni ile Hadith inayopatikana katika Sahih al-Bukhari, ambapo Aisha anasema: "Watu walikuwa wakileta zawadi zao kwa Mtume wa Allah (ﷺ) katika siku ya Aisha. Wake...
3 Reactions
14 Replies
649 Views
Kaini alimuua Abeli, kisha akafukuzwa na kwenda kuishi nchi ya mbali na kule akaanzisha uzao wake!!🤔 Je Kaini alimuoa nani kule nchi ya mbali? Alizaa na nani?🤷🏿 Ikiwa Dunia ilikuwa na Adam &...
0 Reactions
23 Replies
1K Views
Haya ni magari yaliyonunuliwa mahususi kwaajili ya Utekelezaji wa miradi ya Maendeleo Hili jambo sio la kawaida hasa kwenye wizara hii ya KIlimo, Miaka mingi wizara hii haikutengewa fedha nyingi...
7 Reactions
35 Replies
1K Views
https://youtube.com/shorts/gQOZqg8blW0?si=-lRtUNLB63qZPj_X Katika taarifa yake kwa wanahabari mkuu huyu wa mkoa wa Tanga amesema kuwa Kukamilika kwa maboresho ya Bandari ya Tanga kumeleta...
1 Reactions
6 Replies
628 Views
Rais Samia ameanzisha Soko la TMX mauzo ya mazao yaongezeka kwa asilimia 300 imani ya wakulima imeongezeka Chini ya Rais Samia Serikali imeimarisha udhibiti wa biashara ya mazao ya kilimo kwa...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Katika nyakati hizi ambazo ajira ni changamoto . baadhi ya wawekezaji hatupewi nafasi ya kutosha katika kutimiza ndoto zetu za uwekezaji. Nimetoa pendekezo kuhusu kujenga magereza binafsi pamoja...
15 Reactions
63 Replies
3K Views
Katika dunia yenye vitabu vingi vya falsafa, dini, na elimu mbalimbali, hakuna kitabu kinachoweza kulingananishwa na Biblia. Biblia si kitabu cha kawaida; ni chuo cha kipekee ambacho humfundisha...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Kuna shida gani huku Arusha hasa huku Arumeru, kwa siku umeme unakatika zaidi ya mara 10, Jumamosi siku nzima hatukwa na umeme, leo mapema wameshaukata, tumeambiwa nchi ina ziada ya umeme mpakaa...
0 Reactions
2 Replies
374 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, sio lazima apendwe na kila mtu — hiyo ni kawaida katika uongozi. Lakini ni LAZIMA aheshimiwe na kila raia bila kujali tofauti za...
1 Reactions
31 Replies
1K Views
Niliwahi kuripoti tukio la kijana mmoja mchimbaji wa madini anayeishi wilaya ya Sengerema kumrubuni mwanafunzi mmoja na kuamua kuishi nae kama mke na mme huku akijua kufanya hivyo ni uvunjifu wa...
18 Reactions
75 Replies
4K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewasilisha malalamiko rasmi kwa FIFA Ethics Committee dhidi ya Klabu ya Young Africans SC (Yanga). Malalamiko hayo yanahusu mchango wa TZS milioni...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Nakumbuka ni 29/04/2024 Siku ambayo wana Kigamboni tulikaa barabarani kumsikiliza Waziri wa ujenzi kwa wakati huo Innocent Bashungwa akitueleza namna serikali imeridhia kuwekwa rami kwa barabara...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
KIZA CHAZIDI KUTANDA, WALIMU WALIA NA MADARAJA 2025 VIGEZO VYA PEPMIS VIMEACHA MAUMIVU KWA BAADHI YA WATUMISHI KATIKA KUPANDA MADARAJA. Changamoto ya kupanda madaraja kwa watumishi wa serikali...
0 Reactions
5 Replies
913 Views
Mwalimu Japhet Maganga ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania(CWT) amesimamishwa kazi na Halmashauri ya Manispaa ya Temeke. Ikumbukwe kuwa mwalimu huyu ana tuhuma nyingi zinazomkabili...
12 Reactions
105 Replies
10K Views
Huyu ni Bikira Maria kwa mavazi Haya ni mavazi ya wanawake kiislam Sheikh akimuona muumini anavaa hovyo hawezi kusema kinachoangaliwa ni roho sio mavazi, atamuelimisha anachofanya sio sahihi...
3 Reactions
78 Replies
3K Views
Ndugu zangu waislamu mimi nakata munijibu hilo swali maana nimeuliza mashekhe wameishia kusema Mungu anajuaaa tyuu waislamu wa kiume wakifa wakiwa wema wanapewa wanawake bikra 72 na mito ya...
0 Reactions
0 Replies
315 Views
Ikiwa Yesu alikufa kwa ajili ya dhambi zako lakini hakubaki amekufa, basi lengo lilikuwa nini? Je, hiyo inamaanisha bado hajakuokoa? Kulingana na Biblia, Mungu hawezi kufa, na wanadamu hufa mara...
2 Reactions
76 Replies
2K Views
Back
Top Bottom