Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu piteni hapa kujua mawili matatu hivi. Karibuni sana.Matunda ni ovari zilizokomaa, zilizoiva za mimea ya maua ambayo humiliki mbegu na mara nyingi ni chakula kitamu. Ni sehemu muhimu ya...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Isa 41:18 SUV [18] Nitafunua vijito vya maji juu ya vilima, na chemchemi katikati ya mabonde; nitageuza jangwa kuwa ziwa la maji, na mahali pakavu kuwa vijito vya maji. Ukijikuta katika hali...
2 Reactions
0 Replies
206 Views
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari imetakiwa kuhakikisha kuwa waandishi ambao maombi yao yamekamilika na kuthibitishwa wanapatiwa vitambulisho kwa wakati, kwani kumekuwa na malalamiko kuhusu...
0 Reactions
5 Replies
334 Views
Ally Kamwe acha upimbi wa kuwagawa Watanzania kisa yanga inadhaminiwa na GSM au Kikwete na wanakupa kula Yanga ilikuwepo kabla ya Uhuru hata Kikwete ni mtoto mdogo Sana kwenye hii timu...
3 Reactions
9 Replies
671 Views
Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA), Dk Baghayo Saqware amesema kutokana na utekelezaji wa Sera nzuri chini ya uongozi mahiri wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais...
0 Reactions
0 Replies
354 Views
Vyombo vya Habari vinavyotaka kuchapisha habari kuhusu commital proceedings lazima vipeleke maombi mahakamani. Ndio basi kesi imeingia gizani. Tutakuja tu kusikia hukumu. Wanaficha hapa, na...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni jambo la kushangaza sana, katika njia ya Mwenge kuelekea Tegeta kuna askari wa traffic wanne ambao badala ya kuongoza magari na kurahisisha foleni, wamegeuza eneo hilo kuwa kituo cha kudai...
1 Reactions
8 Replies
554 Views
Tume ya Uchaguzi Zanzibar imetangaza mchakato wa uchukuaji wa fomu ze uteuzi wa wagombea pamoja na ratiba ya kampeni na uchaguzi Mkuu ambao umepangwa kufanyika Oktoba 29, 2025 ukitanguliwa na kura...
0 Reactions
0 Replies
568 Views
Wakati huko kwa wengine duniani wanatamba na AI,EVs,Solar,Nuclear......... Sisi Afrika tuna tamba na innovation yetu inayo sumbua kwa sasa katika masoko mbalimbali ya bidhaa.
0 Reactions
1 Replies
263 Views
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imetangaza ratiba ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kumchagua Rais wa Zanzibar, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi pamoja na Madiwani. Akizungumza leo Agosti 18...
1 Reactions
0 Replies
414 Views
Habari ! Naomba kuuliza, Hivi ikitokea siku TRA wakawatoza kodi wanywaji wa vileo hapa nchini inaweza kuwa ni wazo zuri, bora na njia nzuri ya kuzuia wimbi kubwa la unywaji wa pombe na vileo...
3 Reactions
21 Replies
931 Views
Dkt. Mwigulu Nchemba: Makusanyo ya Kodi Yameongezeka kwa Asilimia 103 Baada ya Serikali ya Awamu ya Sita Kuingia Madarakani Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema kuwa kuna ongezeko...
1 Reactions
4 Replies
272 Views
Naiona ona sana mijadala hii me nashindwa kujidiscribe kiukweli....nisaidieni on my behalf me napenda kukaa ndani (nmepanga self) mambo yooote namalizia ndani nikitoka nje kutafta vya kupika tu😂...
9 Reactions
55 Replies
2K Views
Usiwe too open kwa watu kupitiliza, tengeneza connection na sio penetration. ++JASUSI COHEN++
5 Reactions
6 Replies
465 Views
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Exim Bank Tanzania, Jaffari Matundu (kulia), akikata keki wakati wa maadhimisho ya miaka 28 ya benki hiyo yaliyofanyika makao makuu yake jijini Dar es Salaam, Agosti...
0 Reactions
0 Replies
484 Views
Kuna umuhimu gani wa kutumia sura ya kiongozi mmoja kwenye sarafu za aina tofauti? Kwenye sarafu ya 200 na 500 kote Kuna mtu sura ya Abeid Karume. Je, hakuna viongozi au mashujaa wengine? Je...
1 Reactions
0 Replies
365 Views
Wanabodi habari za Muda huu. Naomba kwa wale wenye uzoefu na walionitangulia katika haya mambo naomba tufahamishane ni kipi muhimu kuanza nacho kati ya Ndoa au Ujenzi wa Nyumba? Tushauriane...
2 Reactions
159 Replies
19K Views
Kuna nafasi za ajira jeshi la Magereza zimetoka na nna mdogo wa kwa upande wa mama wa kambo anataka kuomba,lakini yeye ana changamoto ya kuishi na Virusi vya ukimwi. Je kwa mwenye uzoefu anijuze...
0 Reactions
5 Replies
628 Views
Je Yesu ambae ndo Mungu ni katili kiasi hiki? 1. Kumbukumbu la Torati 20:16-17 “Lakini katika miji ya mataifa haya akupayo Bwana, Mungu wako, kuwa urithi, hutawaacha hai mtu ye yote...” 2. 1...
1 Reactions
5 Replies
231 Views
Huu mtandao wa Vodacom kwa sasa naona umekuwa na system za kutuibia wateja wake kwenye upande wa salio la kawaida. Nimekuwa na changamoto katika mtandao huo takribani miezi kadhaa yaani kila...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom