Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

“Wakati mwingine unafika sehemu maisha yanakuonesha sura yake halisi. Nimekuwa nikipambana kuinusuru biashara yangu bila mafanikio, rasmi nimefilisika Sina Msaada Kwa mtu yoyote, hakuna mtu mbele...
4 Reactions
5 Replies
528 Views
"Binadamu anaamini Ukimpa pesa ndo Unampenda" Ila kiuhalisia Unakua umemnunua indirect seles, na wapo wanaouza Direct sales. Kwa ufupi Wote Wanauza ila wametofautina style ya kuuza tu.
0 Reactions
0 Replies
185 Views
Wajuzi wa mambo ya karata za siasa, mikakati ya kisiasa, let's talk about strategic political approach, ambayo inaakisi mabadiriko hayo. Je, talent ya Kihongosi kucheza na jukwaa la siasa hasa...
0 Reactions
9 Replies
740 Views
MASHINDANO ya Selous Marathon yaliyofanyika Agosti 23, 2025 kwa mara ya saba mkoani Morogoro, yameendelea kuvutia maelfu ya washiriki na mashabiki. Miongoni mwa washiriki ni Yas na Mixx ambao...
0 Reactions
2 Replies
304 Views
Nyoka wa Boomslang anajulikana kwa sumu yake kali sana, inayojumuisha hemotoxins ambazo huzuia damu isiweze kuganda. Kung'atwa na nyoka huyu kunaweza kusababisha kupasuka kwa mishipa ya damu hivyo...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
KAMPUNI ya huduma za kifedha kwa njia ya simu, Mixx, imeendelea na mpango wake wa kusogeza karibu huduma za kifedha za kidigitali kwa kuzindua kampeni ya Kila Hatua Mixx jijini Dodoma. Hatua...
0 Reactions
0 Replies
261 Views
Habari wakuu Sasa hivi kuna kampuni nyingi za fiber connection ambazo maeneo kama mwananyamala zipo. Mfano TTCL(wanazingua kukufungia),Savanna fiber and airtel fiber.. jsasa nimehamia maeneo ya...
1 Reactions
0 Replies
176 Views
  • Closed
Leo kwa andiko hili sitomsalimia yoyote japo ni imani yangu mko wazima Kwenu watumishi wa umma popote mlipo msiwe wajinga/ wapumbavu popote ulipo ukipata nafasi fisadi. Naongea hili kwa uchungu...
21 Reactions
107 Replies
5K Views
Thomas Allen McCartney, mhalifu wa kingono huko Louisiana, Marekani, amekubali kupitia upasuaji wa castration (kukata korodani) kama sehemu ya makubaliano ya kukiri kosa. Haya yamejiri baada ya...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Naomba tufungue kitabu cha mithali katika biblia: Mithali 31:4–5 3 Usiwape wanawake nguvu zako; Wala moyo wako usiwape wale wawaharibuo wafalme. 4 Kunywa mvinyo hakuwafai wafalme, hakuwafai...
0 Reactions
5 Replies
735 Views
Ifikapo 2034 80% ya watanzania watakua wanatumia nidhati safi ya kupikia .asema Raisi wajamhuli ya muungano wa Tanzani Dr Samia suluhu hassan. #Tunmjua.
0 Reactions
2 Replies
238 Views
Ukweli ni kwamba Kuna ongezeko la kutisha za pombe aina mbali mbali za makopo pamoja na zile za kupima ambazo hazina viwango. Kutokana na ugumu wa maisha makundi yote nikimaamisha vijana Kwa...
0 Reactions
0 Replies
216 Views
Gated community ni jumuia ya makazi yenye uzio au ukuta wa pamoja na mageti yanayodhibitiwa. Hakuna haja ya kila mtu kujenga uzio wake, kwani usalama uko wa pamoja. uzuri wa gated communities...
9 Reactions
94 Replies
3K Views
Isa 46:5 SUV [5] Mtanifananisha na nani, na kunisawazisha naye, na kunilinganisha naye, ili tuwe sawasawa? Waisraeli walikabiliwa na ushawishi mkubwa wa ibada za sanamu, hasa wakiwa uhamishoni...
3 Reactions
5 Replies
305 Views
Mimi nakumbuka ndio mwaka uliofuata yaani 2005 naanza darasa la Kwanza rasmi.. ndio nakumbuka home kulikuwa na redio ya cassette tunasikiliza kanda ya Ray c na kibao chake cha "Na wewe Milele"...
11 Reactions
222 Replies
4K Views
Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi nne za Afrika zitakazonufaika na mpango mpya wa Japan uitwao “Hometown Initiative”, mpango unaolenga kuimarisha uhusiano na Afrika huku pia ukishughulikia...
1 Reactions
1 Replies
416 Views
--- 1. Kukuza Utawala Bora na Haki kwa Wote Watanzania wanahitaji kuona haki ikitendeka bila upendeleo. Uwazi katika uongozi, kusikiliza wananchi, kushughulikia kero zao kwa wakati ni msingi wa...
0 Reactions
6 Replies
303 Views
1. Maendeleo ya Teknolojia yamefanya ibada kurushwa LIVE mitandao ya kijamii (YouTube , Instagram) ila majambazi nayo yapo rada kutafuta fursa. 2. Tafadhali nyumba za ibada msirushe live wakati...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Miaka kumi iliyopita nilikuwa na Mjonmba wangu akifanya Biashara zake Chanika huku anaishi Mbezi ya Kimara. Alikuwa na fedha kiasi fulani na familia yake ikiishi vizuri tu. Kwa wakati ule alikuwa...
31 Reactions
166 Replies
6K Views
Kuna mzee mmoja idara nyeti anakwambia usiku wanapata shida sana kuhusu Polepole sababu spana za usiku zinanguvu kuliko mchana. Wengine wanashinda Bar na ofisi na mbwa kutafuta wataokoa vipi uchi...
3 Reactions
6 Replies
586 Views
Back
Top Bottom