Naombeni ushauri kwa mtoto anayesumbua kula!!

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,185
Reaction score
24,573
Wakuu nina mtoto wangu wa kiume ana miaka 9 lakini anasumbua kula sana.

Tunajitahidi kumpa kila anachotakiwa kula lakini wapi, ujanja wote wa kumbadilishia chakula umegonga mwamba!!

Nilidhani labda kwakua anasoma shule basi atachangamkia kula lakini hamna kitu.

Yupo darasa la 3 na shule anafanya vizuri tu changamoto ya kula ndo shida chakula kama ni ugali atakula matonge machache tu

Yaani anashindwa hata na mwingine mdogo wa miaka 4!

Mimi na wife tumepambana lakini wapi.

Naombeni mnishauri nifanyeje maana hata lishe tumenunua lakini hatujaona matokeo na huko shuleni kwao wanapikiwa lakini bado shuleni huwa anaskip muda wa kula.

Mpaka kuna mda natamani hata labda ningemuhamishia shule za serikali labda ingesaidia...Wenye watoto kama huyu wangu mmetumia mbinu gani?
 
Salmon oil ndiyo dawa mkuu
 
Ngoja nimcheki Dr. Janabi ataniambia kati yako wewe unaekula mara 3 kwa siku na mwanao anaekula mara 1 nani ni tatizo.
 
Sijaona chakula Hapo.Lishe?ugali? Na huyo mtoto Ana instinct kali Sana ya kuriject carbs.
Hebu mwache na njaa ikifika usiku mpe nyama choma Ile 70% steak 30% mafuta, uje ule jibu hapa.
 
Hakuna anachokosa lakini wapi

Ni shule ya Day mkuu....Bweni wanasema sio pazuri kwa makuzi ya mtoto ndo maana sijampeleka
Si nzuri sana ila inategemea shule na shule, kijana wangu alikuwa na changmoto kama yako ila kwa sasa anakula sana.​
 
Inatumikaje hii mkuu
Hivi ni vidonge vya mafuta ya samaki lakini mbali na vidonge pia kuna mafuta ya samaki ambapo yanauzwa kwenye maduka ya dawa yana matokeo kwa asilimia mia
Vidonge vinarange kuanzia 120-160 gharama
Lakini mwanangu mimi nilimnunulia mafuta kwa elfu32
Utaulizia mafuta ya omega3
 
Mpe n
Hakuna anachokosa lakini wapi
Mpe nyama choma ya mafuta, hawezi kufa kwa kukosa ugali sababu ni mtoto brain yake inahitaki mafuta(sio ya mbegu za alizeti) kwa wingi. Energy atapata kwa mfumo ya ketosis, so mlo mmoja heavy wa minyama ni tosha kabisa. Kula mara tu kwa siku ni mazoea tu Ila si Lazima.
 
Hivi ni vidonge vya mafuta ya samaki lakini mbali na vidonge pia kuna mafuta ya samaki ambapo yanauzwa kwenye maduka ya dawa yana matokeo kwa asilimia mia
Vidonge vinarange kuanzia 120-160 gharama
Lakini mwanangu mimi nilimnunulia mafuta kwa elfu32
Utaulizia mafuta ya omega3
Fuata huu ushauri mkuu utapata matokeo.
 
Back
Top Bottom