Modernist stage from DJ. Don Nalimison to Civilian Coin

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,334
Nimefanya mabadiliko haya Kama Petition inavyojieleza hapo chini kutokana na kutafuta mabadiliko ya msingi ya jina ambalo Mungu analitaka kufikia hatua za Modernist System. Wengi hawatanielewa.

Nchini Marekani mwanamuziki Sean Comb maarufu Kama Diddy alifanya mabadiliko Mara nyingi mpaka akawa imara na Star mkubwa alianza na Puffy Daddy akabadili akawa P.diddy akabadili tena akwa Diddy na hivi karibuni ameapa Mahakamani na kuongeza "Love".

Kwangu Mimi kugeukia CIVILIAN COIN nakuachana na DJ. DON NALIMISON sio dhambi na Wala sio kosa Bali Ni busara takatifu ya kutakasa mipango yangu.

Mabadiliko yote yatafanyikia Mahakama Kuu na Mahakama ya Kimataifa (ICC) na ndipo takuja kurekebisha Account yangu hapa JF.

Maana halisi ya jina Langu jipya CIVILIAN COIN Ni kutafuta Ushirikiano wa Kiraia baada ya kukosa Ushirikiano wa kimadaraka na Uongozi. Hivyo raia(Wananchi) ndio kampani yangu kuanzia Sasa.

Wasalaaam:

CIVILIAN COIN
29 Novemba 2021.
Screenshot_20211129-112448.png
 
Nimefanya mabadiliko haya Kama Petition inavyojieleza hapo chini kutokana na kutafuta mabadiliko ya msingi ya jina ambalo Mungu analitaka kufikia hatua za Modernist System. Wengi hawatanielewa. Nchini Marekani mwanamuziki Sean Comb maarufu Kama Diddy alifanya mabadiliko Mara nyingi mpaka akawa imara na Star mkubwa alianza na Puffy Daddy akabadili akawa P.diddy akabadili tena akwa Diddy na hivi karibuni ameapa Mahakamani na kuongeza "Love". Kwangu Mimi kugeukia CIVILIAN COIN nakuachana na DJ. DON NALIMISON sio dhambi na Wala sio kosa Bali Ni busara takatifu ya kutakasa mipango yangu. Mabadiliko yote yatafanyikia Mahakama Kuu na Mahakama ya Kimataifa (ICC) na ndipo takuja kurekebisha Account yangu hapa JF. Maana halisi ya jina Langu jipya CIVILIAN COIN Ni kutafuta Ushirikiano wa Kiraia baada ya kukosa Ushirikiano wa kimadaraka na Uongozi. Hivyo raia(Wananchi) ndio kampani yangu kuanzia Sasa.

Wasalaaam:

CIVILIAN COIN
29 DESEMBA 2021.
View attachment 2026990
Hamia YouTube, viewers wa Jf Ni nonsense😅
 
Nimefanya mabadiliko haya Kama Petition inavyojieleza hapo chini kutokana na kutafuta mabadiliko ya msingi ya jina ambalo Mungu analitaka kufikia hatua za Modernist System. Wengi hawatanielewa.

Nchini Marekani mwanamuziki Sean Comb maarufu Kama Diddy alifanya mabadiliko Mara nyingi mpaka akawa imara na Star mkubwa alianza na Puffy Daddy akabadili akawa P.diddy akabadili tena akwa Diddy na hivi karibuni ameapa Mahakamani na kuongeza "Love".

Kwangu Mimi kugeukia CIVILIAN COIN nakuachana na DJ. DON NALIMISON sio dhambi na Wala sio kosa Bali Ni busara takatifu ya kutakasa mipango yangu.

Mabadiliko yote yatafanyikia Mahakama Kuu na Mahakama ya Kimataifa (ICC) na ndipo takuja kurekebisha Account yangu hapa JF.

Maana halisi ya jina Langu jipya CIVILIAN COIN Ni kutafuta Ushirikiano wa Kiraia baada ya kukosa Ushirikiano wa kimadaraka na Uongozi. Hivyo raia(Wananchi) ndio kampani yangu kuanzia Sasa.

Wasalaaam:

CIVILIAN COIN
29 DESEMBA 2021.
View attachment 2026990
Civilian Coin A.K.A time traveler. Mwenzetu tayari ushafika 29 December 2021. Yani kwako keshokutwa ni NEW YEAR
 
Nimefanya mabadiliko haya Kama Petition inavyojieleza hapo chini kutokana na kutafuta mabadiliko ya msingi ya jina ambalo Mungu analitaka kufikia hatua za Modernist System. Wengi hawatanielewa.

Nchini Marekani mwanamuziki Sean Comb maarufu Kama Diddy alifanya mabadiliko Mara nyingi mpaka akawa imara na Star mkubwa alianza na Puffy Daddy akabadili akawa P.diddy akabadili tena akwa Diddy na hivi karibuni ameapa Mahakamani na kuongeza "Love".

Kwangu Mimi kugeukia CIVILIAN COIN nakuachana na DJ. DON NALIMISON sio dhambi na Wala sio kosa Bali Ni busara takatifu ya kutakasa mipango yangu.

Mabadiliko yote yatafanyikia Mahakama Kuu na Mahakama ya Kimataifa (ICC) na ndipo takuja kurekebisha Account yangu hapa JF.

Maana halisi ya jina Langu jipya CIVILIAN COIN Ni kutafuta Ushirikiano wa Kiraia baada ya kukosa Ushirikiano wa kimadaraka na Uongozi. Hivyo raia(Wananchi) ndio kampani yangu kuanzia Sasa.

Wasalaaam:

CIVILIAN COIN
29 DESEMBA 2021.
View attachment 2026990
Mkuu hii taarifa yako inashikilia namba moja trend youtub kule
 
Back
Top Bottom