Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wadau,binafsi nimemskiliza sana bwana Haphley Pole pole juu ya mambo yanayoendelea nchini kuhusiana na utawala uliopita na huu wa sasa wa Samia. Bila kumpinga wala kumkubali jamaa atueleze...
3 Reactions
8 Replies
496 Views
https://www.instagram.com/reel/DNzqOD_UrIt/?igsh=MXRscThhYmkwbmJkbQ==
1 Reactions
1 Replies
539 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Puma Energy Tanzania, Bi. Fatma M. Abdallah, aliwasilisha mada kwa Wenyeviti wa Bodi na Wakurugenzi Wakuu wa Taasisi za Umma. Katika wasilisho lake, Bi. Abdallah aliwataka...
1 Reactions
0 Replies
231 Views
Bwana bwana miaka ya 2018-2020 kuna goli(duka) la magodoro nilikuwa nauza maeneo ya kinyerezi location ya duka haikuwa mbaya ilikuwa nzuri sana opo road kabisa na wanunuaji wengi walikuwa kipato...
48 Reactions
170 Replies
7K Views
Kama wewe ni Trafic Police, nani utamruhusu apite kwanza? a). Ambulance b). Gari ya zimamoto c). Kiongozi wa Serikali d). Watajipanga wenyewe? Soma pia: Teknolojia isiathiri utu wetu, Polisi...
2 Reactions
12 Replies
943 Views
Mda mzuri wa kuwachanganya watawala weusi nguvu za giza ni zile mada unaleta usiku.Wazungu na waarabu na wa asia ukifatilia walivyokuja afrika waliingia usiku au kuna pambazuka na ili ndio watu...
2 Reactions
0 Replies
521 Views
𝗠𝗸𝘂𝗿𝘂𝗴𝗲𝗻𝘇𝗶 𝘄𝗮 𝗡𝗼𝗸𝗶𝗮 𝗮𝗹𝗶𝘁𝗼𝗮 𝗺𝗮𝗰𝗵𝗼𝘇𝗶 𝗵𝗮𝗱𝗵𝗮𝗿𝗮𝗻𝗶 "𝗵𝗮𝘁𝘂𝗷𝗮𝗳𝗮𝗻𝘆𝗮 𝗰𝗵𝗼𝗰𝗵𝗼𝘁𝗲 𝗸𝗶𝗯𝗮𝘆𝗮 𝗹𝗮𝗸𝗶𝗻𝗶 𝘁𝘂𝗺𝗲𝗽𝗼𝘁𝗲𝘇𝗮" Inawezekana ikawa story mbaya kwa wale wapenzi wa vifaa vya Nokia ulimwenguni baada ya Ceo kuongea...
1 Reactions
1 Replies
590 Views
Je! Wewe waweza kuuvumbua ukuu wa Mungu? Waweza kuufikilia upeo wa huyo Mwenyezi? Ayubu 11:7 Kila mtu amejiuliza maswali haya, aidha kwa sauti au moyoni mwake, kwa maana hatuwezi kuutazama...
0 Reactions
4 Replies
800 Views
Inawezekana umeshtuka kidogo 👋, Naam wanasayansi wanasema viumbe aina ya Aliens vinakuja kuivamia Dunia mwezi novemba mwaka huu 2025. Kupitia ripoti iliyotolewa na Cbs news , wanasayansi kutoka...
4 Reactions
90 Replies
4K Views
Ila jiwe alikua kauzu kinoma 😂😂🙌 Mwanae Jesca alimnunulia IST second hand,, Watoto wenzake huku wanaPush Rolls-Royce Cullinan series II ya $ 400k. #mdau kutoka mtandao wa X
4 Reactions
14 Replies
969 Views
Chini ya uongozi wake Wasanii wa nje waliopata kutumbuiza(show) nchini Tanzania nao wameongezeka kutoka wasanii 75 hadi wasanii 623 ikiwa ni tofauti ya wasanii 548 ambao ni sawa na 730% hili...
0 Reactions
5 Replies
642 Views
Hali zenu wanajamvi natumai wote ni wazimaa.... Kama heading inavyojieleza nimeona leo nimtazame jk kwa jicho la tatu nimegundua mzee huyu ni mzalendo wa kweli wa taifa hili alieacha alama...
1 Reactions
11 Replies
689 Views
Mimi naamini watu weusi tuliuzwa na watu weusi ambao akili zao ndogo tukawapa ndio watuongoze.Kwa hiyo utumwa wa fikra,maisha na akili unaongozwa na akili ndogo nchi nyingi ambazo uhuru wa uwazi...
1 Reactions
0 Replies
269 Views
Kata ya Buyuni – Mtaa wa Nyeburu, Barabara ya Mchimbo (Maarufu Kwa Baba Esther) Sisi wananchi wa Kata ya Buyuni, Mtaa wa Nyeburu, tunapenda kuwasilisha taarifa ya kero inayotusumbua kwa muda...
0 Reactions
2 Replies
466 Views
Hatuwazungumzii wafanyabiashara wenye helikopta zao hao ni level nyingine, tunajizungumzia kundi kubwa la wafanyabiashara ambao maisha yetu yamekuwa ni pirika pirika. kuna muda unaweza piga...
8 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari wakuu najambo nataka kushare nanyi mnipe uzoefu na ushauri Nina Babu yangu ambae anakua nimjomba wa baba ana Umri wa miaka77,huyu Babu yangu anawatoto walio hai 6 kati ya watoto8 alio...
0 Reactions
11 Replies
660 Views
Mimi ni kijana nipo form 6,Nina umri wa miaka 19 uwezo wa kujitegemea ninao ila wazazi wanakataa mpaka nitakapomaliza shule na sababu yao kubwa eti mi bado mtoto. Hasa apa nipo najifikiria umri...
1 Reactions
4 Replies
323 Views
Bibafsi hamna jambo ambalo linanikera sana kama nchi kuona eti tunapewa mikataba ya kujenga Naamini ujenzi wa vyoo sehemu yeyote ndani ya nchi iwe ni mashuleni au mahali popote pale sio jambo...
1 Reactions
2 Replies
351 Views
Sisi kama serikali na sisi kama wadau wa maendeleo tunawakaribisheni katika hafla ya kuupokea Mwenge wa uhuru hapa jijini Mwanza utakaopokelewa na kulala hapa viwanja vya Nyamhongolo . Kila kitu...
9 Reactions
48 Replies
2K Views
Inasikitisha sana sana Rey maagano hayasemwo hadharani jamanii Kijana mmoja ofisi kubwa tu mwezi july tulikaa nae mlimanicity na ndugu kadhaa akamwambia dadake dada nakuhakikishia haya maisha...
8 Reactions
41 Replies
2K Views
Back
Top Bottom