Yaani nchi yetu imekuwa ya ajabu mno siku hizi. Kila mwezi wanakata malaki ya hela kutoka kwenye mishahara ya watu kwa ajili ya bima ya Afya ya NHIF. Lakini ukienda hospitali kwa ajili ya huduma...
3D ilionekana namba isio rasmi tukaambiwa camera hazisomani na plate namba lakini leo hii kuelekea uchaguzi zimezagaa gari zenye namba za SSH, je hizi camera zinasomaje?
Na pia huwezi kukuta...
Ukweli Kuhusu Mpango wa “JICA Africa Hometown” Uliozinduliwa Katika TICAD 9
Kumekuwa na ripoti na taarifa mbalimbali zinazosambaa mtandaoni na kwenye vyombo vya habari kuhusu mpango uitwao "JICA...
Jambo sijalielewa nimekutana na bei mpya ya bia nilizani ni sehemu moja nilipozunguka sehemu nyingine tofauti ndio nikaja jua bei ya bia zimepanda bei bia yetu pendwa safari ni 2500
Wakati wapo hawa jamaaa MASOUD CZA na FETTY walikua wa hoja walikua na hamasa ya kipindi na walikua wana match sana na muda wa asubuhi akili ya kila msikilizaji iko fresh ila hawa waliopo akina...
Kuna vijihoja vinasukwa kwamba REFORM chanzo chake ni udini!
Swali watu walipomkataa mbowe asiongoze kwani MBOWE ni mwislam?
Watu walipopinga mauaji ya ALLY KIBAO kwani Yule mzee alikuwa...
MWANAFUNZI MTANZANIA ASHINDA TUNZO YA KIMATAIFA
Stockholm, Agosti 29, 2025.
Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mobhare Matinyi, amempongeza mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Dkt. Samia ya...
Wakuu hope mmeamka salama.
Nina jambo kidogo nahitaji ushauri ndugu zangu, Mimi ni kijana wa kiume ni mkaz wa Dar es salaam ila kwa sasa nipo mkoa wa pwani kibaha nimejiriwa na mtu binafsi...
Wakuu
Nimeshangaa,nimepita mahali nimemuona mchina anaendesha guta,anapakia na kushusha mizigo.
Huyu anaewapa vibali hawa watu vya kuja kufanya kazi ambazo zilitakiwa kufanywa na wazawa ni nani...
Amani iwe kwenu watanzania wote
Kumeibuka tabia ya watu wengi kutokujua ni nini maana ya ushamba, na hii yote inachangiwa na watu kutokuwa na elimu vyema , hasa ukizingatia kuwa CCM wamewanyima...
Social media zimeleta utaratibu mpya wa trending, trend yako ikiisha, umaaruf umeisha. Leo unaweza kua unajulikana mtaani kweny tu, kesho Tanzania nzima wakawa wanakuzungumzia.
Jana zamu ya Piere...
Yaani unakuww na siri yako unatamani kuongea na mtu ila hujui yupi sahihi inakuja swala la siri ni ya kwako peke yako akijua mwingine sio siri inaendelea kukutafuna bila kujua mwisho wake na nini...
Hebu naomba mnisaidie hapa jaman ili niweze kuwahamisha hawa Watoto chumbani kwangu (Miaka 4&2). Imekuwa vita ya muda mrefu sana hawataki kulala kwenye Chumba chao, wanalazimisha kuendelea kulala...
Habari za asubuhi waungwana wa humu jamvini......
Hakika maisha ni safari ndefu sana na wakati mwingine kwenye maisha tunakumbana na changamoto na mitihani mbali mbali.......
Kuna baadhi ya...
Huyu ndio paka bwana, a.k.a nyau, a.k.a zee la makonzi. Utanyukwa makofi haswa mpaka unasalimu amri.
Paka ni kati ya wanyama timamu haswa kimwili, wananyumbulika kwa wepesi kama radi. Miili yao...
Aisee habarin Wapamabanaji
Siku chache nyuma nilifanikiwa kutembea kijiji kimoja kipo Wilaya ya Kaliua kinaitwa Uliyankulu umbali wa KM 80 kutoka Tabora mjini njia ni ya vumbi lkn inapitika vizur...
Hii kesi utaifurahia sana hata kama hujawahi kuhudhuria International Courts of Law! Kwa wale ambao Kiingereza ni msitu, kuna muhtasari wa kesi kwa Kiswahili katika Post #2
===========
IN THE...
Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo Omar Said Shaaban akifafanua ni kwa namna gani chama hicho kinapinga vikali maamuzi ya Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) kumuengua mgombea wao wa nafasi ya Rais wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.