Habari zenu.
Wakati mwingine unapoona tiba za hospitali hazisaidii, unaruhusiwa kujaribu na upande wa pili.
Kwa unyenyekevu mkubwa, naombeni msaada wa kumpata mtaalamu aliyepo hapa Pemba muda...
Wakuu,
Hata kama umeshashusha mjengo watu wengi huwa wanapanga sana chumba au nyumba
Sasa kabla ya kupata nyumba ya kuishi kunakuwa na ile process ya kuipata hiyo nyumba
Siku hizi kila kona...
Ukuta wa Mirerani ulijengwa kulinda tanzanite – mali adimu ya taifa. Leo hii, kila anayetaka kuingia ndani ya ukuta huo analazimika kuwa na kitambulisho maalum kinacholipiwa.
Lakini maswali...
Ngoja niende kwenye mada Moja Kwa Moja
Mimi nadhani inawezekana kuwa na kampuni 2 tofauti zinazotoa huduma ya usafiri wa mabasi ya mwendokasi
1) Kila kampuni inakuwa na rangi yake ya mabasi...
Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP Centre) kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo kimeandaa mdahalo wa wachambuzi utakaofanyika Jumamosi, Agosti 30, 2025 katika...
Humphrey Polepole amesema JamiiForums walianza kukusanya kero za wananchi kidigitali, na hapa kweli nawashukuru wananchi na JamiiForums kwa kuwa msaada kwa serikali katika kutatua changamoto...
Yaani Serikali kama pale Mwanza,Mbeya na Dar es Salaam chopper linapita kwenye maeneo ya wazi ya Serikali inamwaga mbegu za miti mbalimbali ya asili lakini pia zoezi lifanyike kwingineko...
Kwenu wana jamii
Jana Polepole alirudia Madai yake ya Magufuli kuuawa na pia kuwa na Tishio la kuuawa hata kabla haijatokea
Wana JamiiForums wakongwe na waliobahatika kusoma hapa JF kabla ya...
Kwenye vyakula, vinywaji, vitafunwa nk, huwekwa kemikali kwa sababu fulani, moja wapo ni visiharibeke kwa haraka.
Sasa swali langu ni kwamba hizi kemikali au malighafi yanayotumika kutengeneza...
Dear son,
The man you will become by 2027 depends on:
1. Foods you eat
2. Books you read
3. Habits you adopt
4. People you spend time with
Start investing in yourself TODAY.
Kwa watu mlioishi bukene miaka 45 iliyopita,mtakuwa mnamfahamu mtu huyu.Ni mbulushi ambae alikuwa tajiri sana na alikuwa ndio rais wa bukene.Wabulushi wa Tanzania nzima walikuwa wakimheshimu...
Tume ya Kulinda Taarifa Binafsi nchini imetoa uamuzi kuhusu ulinzi wa taarifa za mtoto kwa kumtoza faini ya shilingi milioni 25 (TZS 25,000,000) kwa kosa la kuchapisha na kutumia kibiashara picha...
Leo, Agosti 30, ulimwengu unaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Waathirika wa Kupotea kwa Lazima (Enforced Disappearance). Siku hii, iliyoanzishwa na Umoja wa Mataifa (UN) mwaka 2010, inalenga...
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, ameonya na kukemea tabia ya Watumishi na maafisa wa Serikali kuwafokea na kuwatokea kauli mbaya Wananchi pindi wanapohitaji huduma, huku akisema kuwa kufanya...
Katika vitu ambavyo vinanipa sana shida katika ubongo wangu ni ukweli kuhusu kesi ya Babu Seya, nakuwa natamani nijue ni kweli yeye na familia yake walihusika kulawiti watoto au ni kesi ya mchongo...
"Kokote alipo Laazizi wangu Advocate Gwajima
anisikie yeye ndiyo injinia wangu na saa kumi na mbili asubuhi kashanipigia simu na tumezungumza yanayotuhusu na ratiba zake nazijua na yeye zangu...
Serikali imefanya jambo zuri Kwa Kuwa na Mji wa Serikali unaitwa Magufuli City eneo la Mtumba Jijini Dodoma Ili kuweka shughuli za serikali eneo Moja na kurahisisha utendaji kazi.
Kwa kuzingatia...
Kutoka kwa Babu Hadi Vitukuu: Tafakari juu ya Uzao na Kumbukumbu za Familia.
Leo nimeketi na kutafakari kwa kina kuhusu chimbuko langu la kifamilia, hasa upande wa baba. Katika ufuatiliaji wangu...
Hii ngoma bado haijavuja au safari hii wamekuwa makini kuliko miaka ya nyuma ambapo majedwali ya viwango vipya vya mishahara na makato kama PAYE huvuja?
Mara nyongeza ni shilingi 10,000 au 20,000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.