Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hizi ni artificial Intelligence ambazo zinatamba Kwa Sasa? Kwako wewe mdau ipi Iko better?
3 Reactions
46 Replies
2K Views
Wana JF, Leo katika kusherekea siku ya wapendanao, gari la mbunge Mh. Angela Kiziga limepata ajari, gari hilo lilikuwa linaendeshwa na mtoto wake wa pekee akiwa na mpenzi wake. Chanzo cha ajali...
5 Reactions
79 Replies
13K Views
Unapewa usaini karatasi ya BIMA halafu baada ya hapo unapewa dawa pungufu ya zile zilizo andikwa kwenye fomu ya bima au vipimo na wengine wanaenda mbali wanakwambia sehemu ya tarehe usiijaze na...
13 Reactions
42 Replies
3K Views
Kuhusu Afrika. Kichwa kisomeke "Mbwa wanaopigania Mifupa " Wahusika wawe: 1.Wanasiasa. 2.Wachumi Wabobevu. 3.Taasisi za Kidini. 4.Mataifa Makubwa. 5.Taasis za kuzuia Rushwa. 6.Raia Waoga
3 Reactions
5 Replies
591 Views
Habari za muda huu wana jF ningependa kuuliza na kujua Je kama nimeshalipia control number ya passport online nika downlaod na form na imepita miezi sita je nikitaka kwenda kwnye ofisi ya...
1 Reactions
4 Replies
462 Views
Maana kuna mdau amesema yeye kapeleka cheti sehemu usika ajabainisha ni polisi au tra lakini sasa iyo ipoje naona kama ni hivyo utakua utaratibu mpya ama wajuzi tujuzane kunitoa kwenye sinto fahamu
0 Reactions
12 Replies
532 Views
Kuna uovu unaendelea kwenye halimashauri ya bagamoyo na wizara ya ardhi ambapo kuna watendaji wanabiashara ya siri ya uchuuzi wa viwanja kwenye maeneo ya wananchi kwa kutumia migogoro hasa ya...
1 Reactions
8 Replies
960 Views
Vijana wa Mgodini wanavimba sana ukifika Katoro. Wanapanda Juu ya meza mpaka kwenye vibanda vya watu. Vijana wa Katoro acha Ulevi wa ajabu 😂
1 Reactions
0 Replies
214 Views
Kuweka kampuni nyingi ila tunaweka DMZ ili kutosumbua wapuuzi wa CCM wenye cable zao hapa JF. Hivi nyie mnaosifu mama zenu mnajua soko la madini mfano Dhahabu kwa nini inapanda bei au uchumi wenu...
0 Reactions
0 Replies
254 Views
Mange alitamba muda mrefu kama mkosoaji asiyejificha ila Kwa Sasa mitandao imejaa Mtanzania anakimbiza aitwaye Rachel Dangwa Rachel Dangwa huyu dada ni hatari anakosoa Kwa lugha chafu, yaani...
10 Reactions
76 Replies
6K Views
Habari wakuu. Hapa kariakoo nina marafiki kadhaa ambao Kwa asilimia kubwa wameishi Marekani tabia/mwenendo yao inasikitisha na kutisha at the same time they have a...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Vifusi vilivyopo katika mitaa tajwa hapo juu vimekuwa kero kwa wananchi wa mitaa hiyo kwani ndiyo barabara kuu waitumiayo kwenda Hospital ya Wilaya, Frelimo katika manispaa ya Iringa. Vifusi hivyo...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Wengine tunaweka ID sio kwamba mtufahamu rudisheni huu uzi
0 Reactions
23 Replies
772 Views
Wakuu, Yaani ni wazi kabisa kuwa serikali ya CCM ina-propagate hii idea ya Uchawa ionekane ni kitu cha kawaida. Hivi karibuni wameanzisha tuzo za wachekeshaji na ndani yake wanaweka kipengele...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Jana nilitoka nje ya wilaya niliyopo kwa ajili ya jambo flan flan, sasa wakati nikiwa huko ugenini mwenyeji wangu alichelewa kunifuata baada ya kumsubiri kwa muda alikuja. Basi akasema amechelewa...
18 Reactions
104 Replies
3K Views
Wengine tupo kulilia nchi ila huyu ni baharia aliyechangamka mpaka ukoo wao hawana nia na tanganyika.Kuna siku mtalia sana
0 Reactions
3 Replies
412 Views
Wabongo wana roho mbaya sana makazini no wonder niliacha kazi sababu ya majungu nikaanzisha biashara zangu!
5 Reactions
15 Replies
872 Views
Rostam ni mfanyabiashara na ili uwe mfanyabiashara unayetaka ufanisi na biashara zako lazima utafute opportunities ili kukuza mtaji (profit maximisation). sasa kuna nongwa gani Rostam akiwekeza...
9 Reactions
78 Replies
3K Views
Hawa watu sijui ni utoto ama nini? Kweli CCM hawa ndiyo Wanajeshi wenu wa mtandaoni? Brittanica we ni muongo muongo sana tangu ile issue ya Dr Shika ukasifiwa hapa kwa uongo uongo kumbe kukaa...
14 Reactions
65 Replies
7K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Polisi Tarime Rorya limeona picha mjongoo yenye dakika 4:38 ikisambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha kusambazwa na mtu mwenye akaunti ya Instagram yenye jina la...
0 Reactions
1 Replies
603 Views
Back
Top Bottom