Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hii ni ngumu sana kuamini lakini ukweli ni kwamba makusanyo ya sadaka na mali za waumini sehemu yake huchangia ccm Hao manabii na masheikh hawalipi kodi na ndiyo watetezi wa ccm
0 Reactions
0 Replies
314 Views
Habari wakuu, Pale katikati ya mji wa mwanza kuna viwanja vya michezo na shule za msingi mbili Nyakabungo na Mirongo Ilakini kuna tabia inaendelea pale uwanjani ya wale jamaa wanaotumia dozi ya...
0 Reactions
2 Replies
241 Views
“Historia haijafa; ni kivuli kinachotembea kando yetu.” Katikati ya vilima vya Beka’a Valley nchini Lebanon yanasimama mabaki ya hekalu kubwa la kale linaloitwa Hekalu la Bacchus. Ingawa jina...
9 Reactions
22 Replies
1K Views
Wahadzabe wamekuwa na mfumo wa maisha unaoheshimika duniani, wakihusishwa na uwindaji wa asili, maarifa ya mimea tiba na mfumo wa kijamii usio na mpangilio wa tabaka. Lakini mabadiliko ya karne...
0 Reactions
4 Replies
418 Views
Wakuu habarini za wakati huu. Mnamo tarehe moja mwezi huu wa nane, kuna jamaa mmoja hivi, ni Agent wa kusafirisha mizigo. Ana kampuni (Clearing and forwarding agency) pale posta, TWIGA HOUSE...
10 Reactions
50 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya binadamu huwa wanamzungumzia Shetani kana kwamba wanawazungumzia baba zao vizee vilivyojichokea Binadamu wote kuanzia wa kwanza mbele za Shetani ni sawa na kuku au mende na ana...
6 Reactions
69 Replies
2K Views
Wazazi wetu walifanya kazi sana na wakalipwa na noti zenye picha ya nyerere, mshahara wa mtu mzito enzi izo ilikua buku, kwa mahesabu ya haraka haraka kwa pesa ya leo ni ~500k kwann natoa huu...
7 Reactions
16 Replies
636 Views
Mkombozi Commercial Bank Plc ndio Kampuni iliyoongoza Kwa Ongezeko kubwa la Thamani pale Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE) kuanzia Januari hadi Agosti. Hii ndio 10 Bora ya Kampuni zilizofanya...
1 Reactions
2 Replies
541 Views
Hizi ni mbinu za kuficha ID yako: 1. Tumia VPN (Virtual Private Network) kila mara Inaficha IP address yako halisi. Inaifanya shughuli zako zisifuatiliwe kirahisi. VPN nzuri: NordVPN...
12 Reactions
62 Replies
3K Views
Katika historia ya ndondi, mechi ndefu zaidi ilikwenda raundi 110, iliyochukua zaidi ya masaa 7. Andy Bowen na Jack Burke, miamba miwili ya ndondi Wawili hap , walipigania taji la ubingwa mnamo...
0 Reactions
8 Replies
481 Views
Vitabu vya kiroho Biko wazi, mamlaka yote yako chini ya Yesu. Hakuna kiumbe chochote mbinguni na duniani au kihai chochote popote kilicho juu ya mamlaka hii. Watu wengi wanaishi katika double...
1 Reactions
1 Replies
376 Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 mwishoni kuelekea 20, pamoja na kutokuwa na elimu mimi ni muoga wa maisha. Kwanza, mpaka sasa naishi nyumbani kwa wazazi, maradhi na hata chakula pia...
12 Reactions
61 Replies
2K Views
Huu ni mkusanyiko wasimulizi zangu ambazo nimewahi kuzileta humu na zile ambazo nitakuwa nazileta huko mbeleni. Lengo la uzi huu ni kurahisidha ufuatiliaji wa simulizi zangu kwa wale wapenzi wa...
5 Reactions
65 Replies
4K Views
watanzania wengi wapo brainwashed kutetea biashara ndio njia pekee ya kutoboa na mifano lazima iwe ile ya kina MO na Bakhresa, Ni kweli biashara ndio sekta inayotajirisha zaidi lakini...
3 Reactions
10 Replies
898 Views
Will due respect Naomba uongozi wa JF utafakari tena uamuzi wa kuifuta mada husika niliyoiweka hivi karibuni Ni mada inayohusika na uhai wa watu .. Kwenye dunia hii hakuna kitu cha thamani kama...
23 Reactions
58 Replies
15K Views
Wakuu mbona mwaka huu kimya TAKUKURU?
0 Reactions
2 Replies
355 Views
Jengo la ghorofa ambalo linaendelea kujengwa limeshika moto majira ya Saa Sita Mchana wa leo Agosti 31, 2025 katika Mitaa ya Aggrey na Sikukuu, Kariakoo, ambapo Jeshi la Polisi limefika na...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Huu ujinga wa kumuhakikishia rais au mbunge kuwa atakaa madarakani kwa miaka mitano au kumi inawajengea kujiamini na kupiga hesabu za wizi kabisa wakijua wamefika. Ni bora katiba iseme rais na...
2 Reactions
4 Replies
463 Views
Mbali ya usalama wa Huyu mwanaharakati je usalama wa familia yake (watoto/mke) upoje? Umma usije ukawadhuru. Tuungane kuwatambua walipo na kuwalinda na maadui
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom