Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation, Zuweina Farah (kulia), na Mkurugenzi wa TEHAMA wa kampuni hiyo, Athumani Mlinga (kushoto), wakimkabidhi tuzo mchezaji wa Don Bosco, Martin Benson...
0 Reactions
2 Replies
483 Views
Kweli tusiichezee Dunia!? John Komba wakati anaimba nyimbo za kuwatukana na kuwazodoa wapinzani hakikua nn kitaikuta familia yake,akidhani hiyo ndio Dunia atakayoishi yeye na familia yake!!! ...
5 Reactions
4 Replies
727 Views
Habari wa JF, Siku nyingi sijafika humu. Leo nami ninene. Ni kweli, nimesikiliza awamu zote mbili za mazungumzo ya Ndugu Polepole na wanahabari. Nimezitafakari sana, na haya ndiyo niliyoyaona...
3 Reactions
45 Replies
2K Views
Wooote wanaojihusisha na siasa au dini ni wajinga waliobaki nchini humu kwani wanachanganywa na kugeuzwa na viongozi wa siasa na dini wanavyotaka kama maroboti kila siku kuliwa tu.
5 Reactions
30 Replies
1K Views
Mwaka 2010, AU(African union) ilipitishiwa wazo bora sana kuanzisha miundo minu kwa ajili ya internet ya kiafrika, wazo hili lililenga afrika kujitoa kwenye makucha ya internet ya kikoloni, kwa...
0 Reactions
2 Replies
421 Views
Naomba kufahamu jinsi mtu aliyemaliza Chuo anavyoweza kujiunga au kusajiliwa na Bodi ya wakandarasi hapa Tanzania (ERB)
0 Reactions
25 Replies
15K Views
Nikifanya kitu kilicho ktk akili ya wengi watu watanipenda watanipa likes, Hii inanifanya niwe sawa na wengi, nikiwa sawa na wengi maana yake akili yangu na yao zinafanana, Kama akili yangu na...
3 Reactions
2 Replies
269 Views
Akili mnemba (AI) siyo kitu kigeni saana! Afrika kwa asili tumezaliwa nanuwezo mkubwa wa kuunda akili mnemba sema basi tu hajui kuendeleza au kuweka vitu vyetu katika mfumo. Maana rasmi ya...
2 Reactions
1 Replies
573 Views
Wakuu habari za muda huu? Mada yangu inajikita kwenye Hali ya hewa ya mkoa wa Mbeya hasa Rungwe na Mbeya mjini. Mkoa wa Mbeya kiufupi hauna kipindi Cha kilele Cha kumuacha mtu awe huru badala...
29 Reactions
186 Replies
8K Views
Ni uvivu tu wa kufikiri na kutambua kuwa KUAMINI kitu ni mashaka badala yake ni KUJUA ni kujua kitu. Waafrika wengi wamepotoshwa kuwa kuna kumwamini yesu na muhamadi ambao ni njia ya kwenda kwa...
2 Reactions
9 Replies
339 Views
Wakuu hii imekaaje? Unakuta mtu anaonea wanyonge labda Kwa kuwadhulumu mashamba,nyumba anaiba,anauza ung (drugs),bange, na biashara pamoja na dili zote haramu halafu anadunda tu mtaani miaka na...
0 Reactions
6 Replies
498 Views
Tunajuaje kuwa hilo si kweli? Kwanza, injili tatu za Sinoptiki (Mathayo, Marko na Luka) hazimtaji mwanafunzi huyu hata mara moja. Luka na Marko hawakuwa wanafunzi wa Yesu, lakini Mathayo alikuwa...
1 Reactions
11 Replies
648 Views
Tuendelee kuchapa kazi kulijenga Taifa..... MImi naona Kuna shida kwenye system ya vyeti vya kuzaliwa na Nida mfano taarifa zote zinazopatikana kwenye NIDA Zipo kwenye vyeti tena nida iko na...
0 Reactions
0 Replies
270 Views
Sio kwa kujisifia lakini kama unamiliki chombo cha moto na unaweza kumfundisha mtoto, sioni kama kuna cha kukuzuia. Elimu sio darasani tu, kumfundisha mtoto kitu chohote kinachoweza kuwa na faida...
2 Reactions
16 Replies
806 Views
Salaam, Shalom! Kuna msemo wa wasiojielewa usemao ati "Hakuna aijuaye kesho yake" huo ni uongo, Kesho ya watu inafahamika na ni uamuzi wa mtu mwenyewe kuamua kesho yake iweje, sasa hapa duniani...
9 Reactions
68 Replies
3K Views
Hivi Hawa wanaosombwa namna hii kupelekwa kwenye mikutano ya CCM , akili zao Huwa zinafanya kazi kama akili za sisi binadamu wa kawaida kweli?? Hii nchi bado wajinga na mbumbumbu ni wengi...
0 Reactions
10 Replies
802 Views
Asikuambie mtu Ruangwa kuna joto. Nimefuatilia hali ya hewa maeneo mengi yenye joto Tanzania hii yani Tanga, Dar, Lindi mjini, Mtwara, Dodoma, Singida, Zanzibar, Tabora kwa wiki hii sijaona sehemu...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Tangu niingie kwenye hii fani nashangaa tu Kila ninapopanda daraja CWT hata simjui Hata juzi mama alivyoniwekea kiasi nilifurahi ila namkuta huyu CWT akikamua tena
1 Reactions
2 Replies
455 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…