Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nani au gari ipi itaruhusiwa kupita/kuanza safari kwanza... Mtizamo /mtazamo wangu : Presidential car (gari ya rais/kiongozi) Sababu :...... Sina
2 Reactions
5 Replies
386 Views
Ingawa leo hii ardhi ya Hijaz haina kabisa wafuasi wa Uyahudi na Ukristo au dini nyingine yoyote isipokuwa Uislamu, isipokuwa kwa baadhi ya wageni au wafanyakazi wa kigeni, wanahistoria wengi...
1 Reactions
6 Replies
690 Views
NOVENA YA MT RITA WA KASHIA YA SAA 15 MAALUM KATIKA SHIDA KUBWA(Sali Novena hii kila saa. Hadi ufikishe saa zote 15 bila kukatisha . Saa 15 za Novena hii hukumbuka miaka 15 ambayo Mt Rita aliishi...
12 Reactions
23 Replies
45K Views
Ufafanuzi wa Mh Rostam Aziz kuhusiana na umiliki wa Migodi unadhihirisha kuwa Polepole ametengeneza uzushi wa kuchafua biashara za Mh Rostam Aziz na inaweza kumgharimu Polepole kwa kiasi kikubwa...
-1 Reactions
20 Replies
1K Views
Mimi ni Mtanzania ninayetamani kuona mapinduzi na mabadiliko ya siasa ndani ya Tanzania , naimani kubwa siasa za ushindani na demokrasia ya kweli ni chachu ya maendeleo kwa Taifa lolote lile...
1 Reactions
11 Replies
459 Views
Waungwana ama kweli asiye na bahati habahatiki.Ilikuwa Siku ya Jumatano tr 10/7/2019.Ambapo katika pitapita zangu nilikutana na jamaa mmoja aliyekuwa anauza vitaru vyake vya miche ya matunda...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Vijana wenzangu nje KAZI zipo, tumieni maaagent nendeni Dubai Qatar na Canada fursa ni nyingi
7 Reactions
83 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia kijana mmoja aitwaye Ally Juma Shaban, Miaka 29, Mganga wa tiba asilia na Mkazi wa Makazi Mapya, Mlandizi kwa tuhuma za mauaji ya Juma Yoram Nyambihira...
3 Reactions
5 Replies
533 Views
Habari za Muda huu wakuu, naona ndani ya dakika kadhaa JF haiko hewani mpaka VPN vipi nasi tumefikiwa? Kama Twitter?
3 Reactions
21 Replies
785 Views
Habari wanabodi Binafsi nimeleta uzi huu kwa kuamini kabisa kama binadamu kuna wakati tunakosea na kuna wakati tunakosewa vilevile. katika kukosea na kukosewa kuna ile hali mtu kureact/kukasilika...
0 Reactions
1 Replies
302 Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa ametoa wito kwa Wanahabari kuwa na kawaida ya kuhakiki taarifa kabla ya kusambaza kama...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Wadau kwema, Wiki hii kumeibuka video ya kijana mdogo maarufu kwa jina la Kunku (Mtu wa kazi), ambaye ametrend mitandaoni baada ya kukutwa akiiba mbao zilizokuwa zikitumika kutengenezea mabango...
4 Reactions
16 Replies
648 Views
Katika pitapita huku na kule nikakutana na video, ikionyesha models katika majukwa cha KUSHANGAZA ni Moja wa models alipo tumia jukwa Hilo kuomba Dunia kutupia macho ukatili unao endelea Gaza...
1 Reactions
9 Replies
350 Views
Nikiwaletea msg ya tar flan utazawadiwa zawadi.... Badae same day nakuta umepata gb 8 utumie ndan ya siku 30 nikangalia salio nkakuta na gb 1 yangu nilinunua asbh 1.4gb nikahisi labda uchunguzi...
1 Reactions
6 Replies
360 Views
Hivi ninyi TTCL hii ndiyo nyumbani kumenoga? Yaani huduma za kifedha kwenu ni chamgamoto kubwa sana tena sana. Yaani mnashindwa kuunganisha na mitandao mingine. Pesa zikiingia kwenye namba ya...
1 Reactions
15 Replies
773 Views
Nimeunga kikundi kupitia m Koba lakini tunacheza vikoba Sasa nahitaji kukopesha hela Kwa wanachachama Ili warudishe Kwa riba mfuko uweze kukua nashindwa nianzie wapi mimi ni mwenyekiti wa...
1 Reactions
7 Replies
622 Views
Ni kama Scenario ya Mgahawa..., kuna wateja wamekuja kuburudika sisi kama dunia (wenye mgahawa) kwa busara zetu tunajua wateja wote ni wafalme.., sasa kuna huyu mteja mmoja analeta sintofahamu...
1 Reactions
16 Replies
678 Views
Ukweli ni kwamba huwezi kumlazimisha mtu asiyetaka kuja kwenye mkutano. Hata umpe usafiri, kama hataki, hataki. Vilevile, mikutano ya CCM imekuwa ikihudhuriwa na maelfu ya wananchi. Sasa kama...
1 Reactions
10 Replies
411 Views
Anayedaiwa Mlinzi wa Shule ya Msingi Ngarenaro, ambako Mwanafunzi wa Darasa la Saba (13), ameonekana amefungwa kwa mnyororo kwenye dawati kwa kosa la utoro, amedai kuwa Mwalimu Mkuu wa shule hiyo...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za wakati huu Naombeni msaada au kama kuna wahusika moja kwa moja wanipe msaada niweze kupata bima ya afya. Ndugu yangu amepata ajira serikalini mwaka huu, tangu aingie kazini amekuwa...
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…