Gwataimbwa
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 347
- 133
Waungwana ama kweli asiye na bahati habahatiki.Ilikuwa Siku ya Jumatano tr 10/7/2019.Ambapo katika pitapita zangu nilikutana na jamaa mmoja aliyekuwa anauza vitaru vyake vya miche ya matunda .Ndipo tulipokubaliana nimpelekee pesa sh milioni 4, kesho yake ilinimbandue hapo ofsini kwake ili naye aende huko Panda kutafuta maisha .Sasa nilipoenda crd bank kutoa pesa ndipo nilikumbana na hilo ya kuwa hakuna mtandao wa kutoa pesa ,jumamosi nikaenda tena majibu yakawa yale yale ,Leo tena jumatatu nilipoingia crdb bank nikakutana na watu ambao sura zao zimejaa huzuni nikajua tena majibu ni yale yale ya hakuna mtandao .Sasa waungwana huko mliko pia kuna tatizo kama hili la wateja kushindwa kupata huduma ya kutoa pesa kisa mtandao?.Mimi Niko Serengeti