Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jamani dunia imetiwa unajisi kwa watu wanaoikaa! Ndo maana magonjwa! Njaa! Vita! Matetemeko! Tsunami! Cathlina nk. Nabii ISAYA 24:6,7 anasema ni kwa sababu tumeasi sheria,tumebadili...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
JK amteua mwenyekiti mpya TANESCO na Hamisi Mwesi na Shehe Semtawa Tanzania Daima~Sauti ya Watu RAIS Jakaya Kikwete amemteua Peter Ngumbullu kuwa mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakurugenzi ya...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Wezi wa EPA wavuka kitanzi cha Mahakama 2008-11-01 12:44:17 Na Waandishi wetu Idadi kubwa ya mafisadi waliopora fedha kutoka Akaunti ya Malipo ya Nje (EPA), iliyokuwa chini ya Benki...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwanafunzi akamatwa na vitambulisho vya jeshi vyenye sahihi ya rais Na Mashaka Kibaya, Manyara MWANAFUNZI wa kidato cha nne, Alex Marongo, 30, anashikiliwa na polisi kwa kupatikana na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jamani nimetumiwa hii kwa e-mail. If this is true basi Watanzania tunaibiwa sana.................. VODA CUSTOMERS This is a fact, you may verify yourself. Written by Voda customer who is tied...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wastaafu kufanya matembezi kuchangisha fedha za wakili Na Fidelis Butahe BAADA kufunguliwa kesi mahakamani na serikali kwa tuhuma za kufanya maandamano bila kibali, wastaafu wa iliyokuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi nyie ndugu hawa watu wamekekwa kutuibia tu au ndio mtaji wa ccm 2010,ukienda kwenye bili za umeme wanakata pacent 1, ukija kwenye mafuta wanashabikia kweli kwenye kupandisha bei hivi sasa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Imetolewa mara ya mwisho: 01.11.2008 0010 EAT • EPA kimyaa! *Hakuna kesi ya mafisadi iliyofunguliwa *Mwanyika, Feleshi 'wazima' mawasiliano *Wasomi, wananchi waonesha kukunja...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hii ina maana kuwa hata magari yaliyozidi miaka mitano ambayo tayari yalikuwepo na kutumika nchini yasiruhusiwe kutumika kwa vile yamekuwa kuukuu? Mimi naona kitu cha kuzingatia hapa ni ubora wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani swala la bei za nyumba za kupangisha inabidi liangaliwe upya. Ingawa najua ni mambo ya soko huria lakini sasa kwenye nyumba imekuwa soko holela. Nimepata simu kutoka kwa mwenye nyumba...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
A Tanzanian doctor who was arrested by Malawi Police for conducting illegal trial vaccines to several HIV/Aids sufferers, a practice which led to the death of seven people has been released on...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Akina Baba pia muwe huru kuchangia mawazo yenu. Date::10/29/2008 Kikwete atetea mila ya 'chagulaga' kwa vijana kujipatia wachumba Na Mwandishi Maalum, Tabora Mwananchi RAIS Jakaya...
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Wakuu nimepita sasahivi saa tisakamili mchana maeneo ya kidongochekundu nimekuta mashekhe kibao na wafuasi wao.Tetes kwa harakaharaka wanadai kuungana leo mpaka kieleweke muafaka wa OIC.Maaskofu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
30.10.2008 @22:38 EAT Mining firms slam govt "indecision" By Costantine Sebastian THE CITIZEN Mining companies have criticised the Government for not making its position clear on key...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Vijana wetu wanaokwenda kusoma Asia wana hakika ya kazi huko. Zipo habari kuhusu makampuni kuhamishia shughuli zake nchi nyingine. Mfano: "Call Center Jobs Drifting Overseas". Hivi karibuni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Chancellor demands cheaper petrol as Shell posts record profits Trace the rise and fall in crude prices in the last decade Graeme Wearden guardian.co.uk, Thursday October 30 2008 11.45 GMT...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii habari nimeona niiweke hapa, ili kuwakumbusha waandishi wetu kuwa kazi ya kufuatilia kashfa ya ufisadi sio kazi nyepesi. Hebu soma habari hii ya kusikitisha kuhusiana na Mwandishi huyu jasiri...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Safi sana hii. Parents queue to select baby gender A growing number of British couples are undergoing procedures at clinics overseas to determine the gender of their babies. BBC NEWS |...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Date::10/29/2008 Wananchi walalamikia Mgodi wa Geita kuangamiza mifugo Na Mussa Juma, Geita Mwananchi WAKAZI 110 wa Kijiji cha Nyakabale, ambacho kinapakana na mgodi wa Geita Gold Mine...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Samahania sana kama mtakuwa tayari mmeanza kuichangia article hiyo niliyodesa kutoka IPPMEDIA. Baada ya kuisoma hadi mwisho nilibakia na maswali mengi yasiyo na majibu. Ingawa mahitimisho yangu...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…