Uchaguzi - Jumuiya ya Wazazi Taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi - Jumuiya ya Wazazi Taifa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by lageneral, Nov 8, 2008.

 1. l

  lageneral Member

  #1
  Nov 8, 2008
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimesoma gazeti la majira kuwa kuna mgogoro kati ya mh Mkono na mbunge mmjoja mkoani Mara.Nimehisi kuwa huyu atakuwa Mathayo wa Musoma mjini ambaye atakuwa anampigia debe Abdallah Bulembo kuwa mwenyekiti wa wazazi taifa.Kweli CCM kipenzi cha vihiyo.Mathayo na Bulembo ni watu mbumbumbu.Kweli taifa litazidi kuangamia
   
 2. l

  lageneral Member

  #2
  Nov 8, 2008
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nani anafuatilia uchaguzi jumuyia ya wazazi Taifa.Inaonekana Abdallah Bulembo anapigiwa debe n ambunge wa Musoma mjini mh mathayo.Kweli CCM KIPENZI CHA VIHIYOOOOOO.
   
Loading...