Mohamed Mwameja Yuko wapi?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,871
155,840
Jamani mwenye ufahamu ya kule aliko yule nyanda mahiri wa kunyaka penati a.k.a Tanzania One, Mohamed Mwameja aliko, anijulishe ili niweze kuwasiliana naye na kuongea baadhi ya mambo.
 
Mkuu
Mwameja tuko nae timu ya veterani kule Ukonga Mageraza, njoo siku za jumamosi na Jumapili pale uwanja wa magereza ndani utamkuta... Ukitaka namba yake njoo pembeni
 
Back
Top Bottom