Bomb scare at Kempinski? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bomb scare at Kempinski?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mbalamwezi, Dec 29, 2009.

 1. M

  Mbalamwezi JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2009
  Joined: Sep 30, 2007
  Messages: 803
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Reports indicate a bomb scare at Kilimanjaro Hotel Kempinski...high presence of security birds...and that the bomb has already been put out of action...scanty details like this is all that i could get, is there anyone with a credible info?
   
 2. S

  Sir Member

  #2
  Dec 30, 2009
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimesikia habari hizi juu juu, kwamba jana kuna mlipuko ulitoke pale Kilimanjaro.

  Naomba mwenye habari ya kilichotokea atufafanulie
   
 3. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2009
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kama kuna ukweli wowote, hilo bomu liliingiaje pale na kuna ulinzi wa hali ya juu, siwezi kutafakari.
   
 4. f

  fungamesa Senior Member

  #4
  Dec 30, 2009
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ilikuwa mfanyakazi ananyunyizia dawa ya mbu (PIF PAF) akanyunyizia kwenye mashine inayochemsha maji ya kuoshea glass pale Casino ndo ukatokea mlipuko mdogo sio mkubwa. halikuwa Bomu. ikizingatiwa dawa nyingi za Mbu ni Inflamable
   
 5. w

  wakumbuli Senior Member

  #5
  Dec 30, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  fungamesa hilo nalo neno wabongo wanaweza libeba,kazi unayo mkuuu kwa utunzi
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,426
  Likes Received: 22,341
  Trophy Points: 280
  je kwanini mlipuko umeuita bomu?
  Kwani we hujui gesi inalipuka, umeme unalipuka, hata taa za kandili huwa zinalipuka.
   
Loading...