Matarajio yako mwaka 2010

Kisiasa: Nina mpango nisipige kura mwaka 2010,sioni wa kumchagua
Kiuchumi: Nataka kuwa mjasiriamali,utumwa wa kuajiriwa umenifika shingoni
Kimapenzi: Nataka kupenda zaidi na natarajiwa kutunukiwa mapenzi zaidi(ya kweli)
Kiroho: Natarajia kuutafuta uso wa Bwana na niwahubirie wasio mjua Mungu kama akina blurei 10 hivi wamrudie Bwana.

........Mengine nitaendelea.......... wakati mwingine
 
well mi nataka kuwa karibu zaidi na mungu, nataka kumjua zaidi ya nimjuavyo manake nimeona maisha ya duniani ni ubatili mtupu, sioni jipya just looping tuu!

ooh god give me strenght!

ameen!
 
Kupunguza addiction yangu na hii forum naweza poteza kazi naomba na nyie mniombee.
 
ntakuombea usije ukatuua njaa!!!! (mi yangu tayari matatani sababu ya jf hapa nipo internet cafe!!!
 
Kupunguza addiction yangu na hii forum naweza poteza kazi naomba na nyie mniombee.

Itabidi tufunge kwa maombi maana sio wewe mwenyewe mimi toka niigundue nimeshapewa warning kama mbili na boss wangu maana sishikiki siku hizi so this will be my anaza tajajio kula na senki kabisa
 
Kisiasa: Nina mpango nisipige kura mwaka 2010,sioni wa kumchagua
Kiuchumi: Nataka kuwa mjasiriamali,utumwa wa kuajiriwa umenifika shingoni
Kimapenzi: Nataka kupenda zaidi na natarajiwa kutunukiwa mapenzi zaidi(ya kweli)
Kiroho: Natarajia kuutafuta uso wa Bwana na niwahubirie wasio mjua Mungu kama akina blurei 10 hivi wamrudie Bwana.

........Mengine nitaendelea.......... wakati mwingine

well said,je una uwezo wa kisaikolojia wa kufikia jambo hilo?
 
kitu kinachonipain ni kwamba by getting married I LOOSE THE PEOPLE I LOVE MOST!kampani yangu wameanza kunikwepa!

THAT HURTS BWANA!
 
Back
Top Bottom