Waafrika tumelogwa na nani?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waafrika tumelogwa na nani??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bernard Rwebangira, Dec 29, 2009.

 1. Bernard Rwebangira

  Bernard Rwebangira R I P

  #1
  Dec 29, 2009
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Six cabinet ministers are visiting China for talks with the Chinese government on ways to rescue the ailing Tanzania and Zambia Railway Authority (Tazara) from total collapse.  Impeccable sources in the Infrastructure Development ministry have told ‘The Guardian’ that three ministers from Tanzania have joined three others from Zambia for the crucial trip.  “The three ministers (Infrastructure, Finance and Trade) will join their Zambian counterparts for serious talks with Chinese officials in Beijing. We understand that on the agenda is the request to welcome the Chinese to take over the operations of Tazara in place of the Tanzanian and Zambian team currently in charge of the railway line,” the source revealed.​


  Yaani mawaziri sita wote wanaenda kuomba mchina aje aendeshe shirika? kweli hii inaingia akilini kweli? miaka karibu 50 ya kujitawala hatujapata wataalamu wa kuendesha shirika la reli jamani? Mi naomba tuambiwe ukweli hapa tatizo ni nini? siamini kuwa hatuna watu wenye sifa wa kuendesha shirika kama hilo katika nchi zetu hizi mbili, nasema siamini labda niambiwe kuwa mataifa yetu haya ni ya mbumbumbu ama mazumbukuku, ndio labda mtu anithibitishie hivyo leo hii.

  sio siri hii inasikitisha sana, tena sana.
   
Loading...