Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Poleni mnaoishi hapo Tanzania aisee mna moyo hivi mnawezaje kuishi hapo kwenu Bongo na vumbi hilo la kwenu? Kiukweli mimi nilikuja likizo kutoka yues ila baada kuona napigwa na vumbi nikasitisha...
2 Reactions
20 Replies
641 Views
Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii katika Serikali ya Awamu ya Nne, Lazaro Nyalandu, amesema kuwa safari yake katika mikoa ya Singida, Tabora, Kigoma na maeneo mengine kumnadi mgombea urais...
1 Reactions
4 Replies
409 Views
Toka nimeingia JF sijawahi kutana na mtu akawa anataka nimpe connections za akina Bill Gate, Buffet, Elon Musk n.k huwa nashangaa sana vijana wa Kitanzania wanawaza nini? Viongozi wanawaza nini...
32 Reactions
59 Replies
2K Views
Aiseeeh, nafikiri huyu mzee anawapima aone anaweza kuwakasirisha kiasi gani. Inakuwaje mkuu wa mkoa, anaongelea habari za wanaume kuhonga na kuwahamasisha wafanye hivyo kwenye kikao na watumishi...
1 Reactions
76 Replies
2K Views
BENKI ya Biashara Tanzania (TCB) imezindua rasmi Hatifungani ya Stawi, programu ya muda wa kati ya kiasi cha Bilioni 150 za Kitanzania, ikiandika historia mpya katika ukuaji wake na kuingia kwa...
1 Reactions
1 Replies
326 Views
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kupitia kanuni zake mpya za mwaka 2023 imefungua ukurasa mpya katika biashara ya kubadilisha fedha za kigeni. Kwa mara ya kwanza, maduka ya kubadilishia fedha...
3 Reactions
4 Replies
422 Views
Wabongo wa vijiweni wanatabia ya kubeza sana usafiri wa watu wengine utasikia vitz sio gari , ist ni bajaji halafu huyo anayezungumza hivyo ukimkuta ndani ya mwendokasi utamuonea huruma
10 Reactions
23 Replies
1K Views
SAKATA la Halmashauri ya Karatu, kugomea kulipia malazi ya Makamu wa Rais, Dk Ali Mohamed Shein na ujumbe wake limechukuwa sura mpya, baada ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi mamlaka hazioni au ndo zimeshindwa kuwa-manage maana imekuwa kero kero, wanasababisha ajali tena katika zebra wameigeuza barababara ya mwendokasi kama yao special Kama Serikali inashindwa...
5 Reactions
24 Replies
887 Views
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Ruvuma, Marco Chilya, ameeleza kuwa kuna dhana potofu iliyojengeka miongoni mwa Watanzania kuhusu Kikosi cha Kutuliza Ghasia, Field Force Unit (FFU), ambacho watu...
1 Reactions
6 Replies
590 Views
Kuna taarifa inasambazwa kwenye mitandao ya Kijamii yenye kichwa cha habari kinachosomeka "ABDUL NA KUNDI LAKE WAMTEKA MWANDISHI WA HABARI WAMNYONGA NA KUMTUPA MTO JANGWANI". Maandishi hayo...
3 Reactions
73 Replies
3K Views
Ni saa mbili asubuhi jijini Dodoma. Simu ya mezani ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, inaita mara mbili mfululizo. Ni taarifa kutoka...
8 Reactions
40 Replies
2K Views
Jeshi la polisi mkoani Mwanza limepokea boti ya mwendokasi itakayotumiwa na kikosi cha polisi wanamaji kwaajili ya Doria katika ziwa victoria hatua inayolenga kupambana na vitendo vya kihalifu...
2 Reactions
2 Replies
328 Views
Napenda kuwajulisha kuwa hali iliyotokea katika ofisi zetu mchana wa leo imesharipotiwa, na mamlaka husika zinachukua hatua stahiki. Nitaendelea kuwataarifu kwa hatua zitakazofuata. Hali hii...
45 Reactions
95 Replies
7K Views
Ni familia ya Mr. Kaggi ya Masaki DSM walienda kwenye mazishi ya mama mzazi wa Mr. Kaggi huko Raskazone Tanga. Wakati wanarudi walipata ajali, alipona mke wa Mr. Kaggi na msichana wa kazi. RIP...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari , Kama wewe ni mwanaume na bado haujaoa na ni mtumiaji uliyekubuhu wa mitandao ya kijamii kama jamiiforums, twitter, facebook n.k basi unakabiliwa na upigaji punyeto uliokithiri. Utafiti...
3 Reactions
183 Replies
16K Views
Wadada!tutaendelea kudhalilishwa mpaka lini? Mbona wakaka wanataka kutunyima uhuru wa kuvaa tutakavyo. Qn:Vipi hii ikukutokea wewe shosti? au mkaka vipi uko na demu wako ikamtokea hii ? Nani...
3 Reactions
463 Replies
49K Views
Kuondoa shombo la samaki au kitu chochote chenye harufu kali kama vile kitunguu thomu. kwa kusafisha, minya dawa ya meno kidogo tu kwenye viganja vya mikono yako kasha tapakaza mikononi mpaka...
28 Reactions
129 Replies
76K Views
Kwanza Pole na hongera kwa kazi kubwa unazozifanya. Najua sasa ni capitalism era, na pesa ndio prime focus ila sustainability ndio kitu kikubwa zaidi. Unapata kazi nyingi tu sasa na unazidi...
0 Reactions
45 Replies
8K Views
Ukiangalia hii video, huyo dada aliyevaa nguo za CHADEMA ameonyesha ujasiri sana, amekwenda mbele kumuokoa huyo jamaa kutoka kwenye kipigo cha polisi, wenzake ndipo wakafuata.... Akarudi tena...
10 Reactions
96 Replies
4K Views
Back
Top Bottom