Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wataalamu wa Afrika wamepongeza nafasi ya China katika kuendeleza haki ya maendeleo katika bara zima la Afrika, wakisisitiza namna inavyoheshimu njia ya kipekee ya maendeleo ya kila nchi. Hayo...
0 Reactions
1 Replies
262 Views
Aisee harusi zina vikorombwezo vya ajabu ajabu sana ndio vinapelekea kusumbuana na msg za michango na kuingia madeni wanandoa. Mfano: 1. Kukodi ukumbi - Mil 4 2. Mapambo - Laki 5 3. Music - Mil 1...
26 Reactions
186 Replies
5K Views
Mfano mtu akituma uzi wa lugha mbaya au akiamua kutukana hata serikali. Huo uzi si utaachwa tu mpaka siku 90 ziishe ndo Mods watakuja uona? Maana wakiuondoa itakuwa mgogoro na TCRA wameuondoaje...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu Mimi Niko salaama, salama sijui ninyi huko, turudi kwenye uzi Siku moja Nguli wa falsafa bwana Socrates, siku moja alitewa habari na shushu, snitch pindi alipokuwa ofisini kwake, Bwana...
5 Reactions
7 Replies
426 Views
Habari wakuu Jamiiforums inapaswa kuunga mkono ubunifu wa kidigital ili kufufua kiwanda kilicho lala kwenye teknolojia hapa Tanzania, Katika enzi ya mabadiliko ya kidijitali, mitandao ya jamii...
1 Reactions
7 Replies
426 Views
Taingia juzi akaunti yangu kwenye benki ya CRDB imepunguzwa balance kiasi cha Milioni 1.7. Cha kushangaza sijawahi fanya huo muamala. Nimejaribu kuandika email CRDB hawajajibu. Nimewasiliana...
21 Reactions
78 Replies
3K Views
Aise, sijui TAKUKURU wameniona mimi ni mpokea RUSHWA? Yaani, kila baada ya dakika tano natumiwa ujumbe unaonitaka nisipokee RUSHWA, eti ni adui wa haki kutoka kwa viongozi wanaogombea. Swali...
3 Reactions
4 Replies
415 Views
Watu watano wakiwemo Raia watatu wa Kigeni wa nchi za Kenya na Italy Watumishi wa Mashirika ya Kanisa Katoliki, wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa, baada ya gari dogo Toyota Land Cruiser namba T...
1 Reactions
8 Replies
951 Views
Kwa hali ya kisiasa ilivyo kwa sasa, amani nchini itatoweka 1. Viongozi wa vyama vya upinzani vyenye kuonesha kuungwa na jamii (km CHADEMA na ACT-Wazalendo) wanawekewa vipingamizi visivyo na...
0 Reactions
4 Replies
457 Views
Serikali tayari imetenga eneo jipya la ujenzi wa soko la mpito, kwa ajili ya Wafanyabiashara waathirika wa janga la moto, lililotokea usiku wa kumakia September 15 mwaka huu katika soko kuu la...
0 Reactions
4 Replies
398 Views
Anonymous
Naanza na Maswali: (1) Kuna ulazima gani wa Ithibati kwa Wanahabari kutolewa na Serikali? Je, imelenga kudhibiti nini kwa Wanahabari? (2) Kwanini ithibati kwa Wanahabari zisitolewa na Vyombo vya...
1 Reactions
0 Replies
346 Views
Najua kabla hujamaliza hata kuusoma uzi huu kuna meseji itaingia kwa simu yako , ni lazima uiguse simu yako kuona nini hasa kipo Kwa utafiti mdogo nilioufanya kwa week mbili zilizo pita nilifanya...
9 Reactions
33 Replies
3K Views
Wanabodi, Watanzania wote waliosoma enzi za mkoloni mpaka tunapata uhuru, tumekuwa na elimu ya aina 3. Shule za serikali, Government Schools, Shule za Mission, na elimu ya madras kwa ndugu zetu...
66 Reactions
340 Replies
14K Views
Tukiwa watoto miaka ya 90 huu wimbo ulivuma sana pamoja na nyimbo nyingi za pastor Munishi. Pia tukaaminishwa alifukuzwa Tanzania kwasababu ya kutofautiana na serikali ya mwinyi. Pia...
4 Reactions
15 Replies
907 Views
Iwapo kuna makundi mawili makubwa ya wafia dini wa Yesu na wa Muhamad je ni kundi lipi ambalo liko sahihi na linapata msaada zaidi ya lingine kutoka kwa kiongozi wao? Na kwanini kuwe na makundi...
0 Reactions
11 Replies
616 Views
EITHER: Aliathirika kisaikolojia kwa manyanyaso makali baba aliompa mama (or vice versa) plus unakuta ndugu nao wanaingilia mgogogoro huu ka kuchagua pande kupelekea ukiwa kwa mama/baba. OR: Au...
1 Reactions
2 Replies
279 Views
Tuna Tatizo sana hasa kwa watu wanaoishi nje ya Tanzania 🇹🇿 Unakuta Vodacom Mpesa wameweka whatsap number kwa ajili ya watu wanaoishi Nje ila unaweza andika ujumbe wa haraka kujibiwa inatumia...
2 Reactions
12 Replies
458 Views
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2025, Ismail Ally Ussi (wa tatu kushoto) akizindua tawi la Nyakatuntu wilayani Kyerwa. Pamoja naye ni Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, Mheshimiwa Zaitun...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Kama unaenda Ubungo au Buguruni kupitia barabara ya Mandela tafuta njia mbadala, si kwa hii foleni. Barabara mchepuko za vingunguti, airport na majumba 6 zimefungwa kwa wakati mmoja lazima foleni...
1 Reactions
4 Replies
465 Views
Back
Top Bottom