Kuna wanapata utajiri kwa masharti ya kulala chini ,au kutovaa viatu,wengine kutafuna mabinti zao (tendo la ndoa) n.k waweza ongezea mengine
ila ni utajiri wenye mateso.
Songesha na mikopo mingine ya simu imepelekea watumishi kunyimwa mikopo wanapoenda bank kukopa, na hii ni kutokana na mamlaka zinazosimamia mikopo kuweka utaratibu wa madaraja high risk, risk na...
Benki Kuu ya Tanzania imeshinda Global Award of Financial Inclusion. Ikumbukwe Tanzania sio nchi inayoongoza kwa unafuu wa Financial Inclusion tozo nyingi, na namna ambazo zinazidi kufanya watu...
Tunaingia mwezi wa 9 ambapo kumbukumbu za shambulizi la kigaidi huko marekani zitafanyika huko manhattan kwenye zero ground. Nikaona sio mbaya kuleta picha na kumbukumbu mbalimbali za tukio...
Kuna mambo yananichanganya, mimi nlikuwa nafikiri mishipa ya mwili yote inafanana, lakini kuna baadhi ya watu naona wameni-prove wrong. Naona wako na mishipa yenye rangi ya KIJANI kama sio BLUU...
Vijana wenye ujuzi wa kutengeteneza majiko kupitia vyuma chakavu, wamesema wanaiomba Serikali kuwawezesha katika ujuzi wao na kutowatoa maeneo wanayofanyia kazi.
Vijana hao wamesema kutokana na...
Nimeishi Dar, Mwanza, Mbeya, Iringa, Njombe, Tanga, Mtwara, Singida, na Mara, nichukue fursa hii kusema wazi mkoa wa Mara unatia huruma.
- Naweza kusema kwa uhakika ndio mkoa wenye stendi mbovu...
Kwenye maisha imekuwa ni kawaida japo siyo kwa wote kuona Watu hawakubali kuweka wazi au kueleza mchango wa mtu au watu fulani waliowasaidia kwenye maisha.
Inawezekana wanahofu kusema hivyo labla...
Aliyekuwa Balozi wa Baba Mtakatifu nchi mbalimbali duniani Mtanzania Askofu Mkuu Novatus Rugambwa amefariki dunia usiku wa Septemba 16, 2025 huko Roma nchini Italia.
Hayati Askofu Mkuu Novatus...
Jeshi la polisi Mkoa wa Iringa limewakamata Innocent Moshi (30), mfanyabiashara na mkazi wa Tenguru Mkoa wa Arusha na wenzake wawili wakiwa na laini 94 za mitandao mbalimbali ya simu wakizitumia...
Ilikuwa wakati wa jioni huko vijiweni vya kawaida, pale mtaani, ambapo sisi marafiki tulikuwa tumekaa chini ya mti mkubwa, tukinywa chai moto na kutoana hadithi za maisha. Mmoja wetu, yule...
Nimehuzunishwa na kifo cha Balozi Paul Milyango Rupia Aliyekuwa na umri wa miaka 84. Mauti yalimkuta Afrika Kusini alikokuwa akitibiwa. Paul alikuwa miongoni mwa wanadiplomasia wabobezi wa...
Nimekuwa nasema kila siku hapa kwamba mali nyingi zinazopita ufukweni pale hazilipi kifuta jasho kama inavyopaswa,
Magari hayo ya Bwana Edigaran Masako wa ofisi ya makusanyo kifuta Jasho (OMKJ)...
Brigedia Jenerali Paul Masinde amewataka vijana waliohitimu mafunzo ya Operesheni Nishati Safi katika Kikosi cha Mgambo 835 JKT wilayani Handeni, mkoani Tanga, kutumia ipasavyo mitandao ya kijamii...
Mkuu wa mkoa ni mwakilishi wa Rais kwenye mkoa. Kauli zake zinatafsiriwa kama dira ya serikali, hivyo lazima ziwe na mizani, heshima na kuzingatia sheria. Kauli ya kumdhalilisha kijinsia au...
CURRICULUM VITAE OF MONSIGNOR NOVATUS RUGAMBWA
Born on 8th October 1957 as the second child of Mr. Benedict and Mrs. Leocadia Rwechungura, Novatus was baptized on 3rd November 1957 in Bukoba...
Katika Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro Septemba 15, 2025 limefunguliwa shauri la Uhujumu Uchumi namba 22415/2025 mbele ya Mh. Onesmo Nicodemo Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya wilaya ya...
Katika juhudi za kukabiliana na ongezeko la idadi ya watu katika Mkoa wa Dar es Salaam, uongozi wa mkoa huo umeamua kuanza rasmi ujenzi wa shule za ghorofa na kuachana na ujenzi wa shule za...
Mwanzoni mwa mwaka 2006 nilifanikiwa kuona mtoto kama wa miaka 13 akiwa kwenye kundi la wanariadha waliokuwa wakifanya mazoezi kwenye uwanja wa Ilboru sec, Arusha mida ya alasiri. Alikuwa katoto...
Maginjwa ya ebola, na marbug yamekuwa yakiitesa sana East afrika hasa DRC, kwa mbali Rwanda, Burundi na Uganda ila kituko tunasubiria huruma za nchi za magharibi watutengenezee dawa to be honest...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.