Umoja na utulivu wa nchi za magharib zilitokana na iman zinazofanana kama Ukiristo, kua na adui mmoja kama ugaidi (islam), au kipindi cha uadui na Soviet Union. Hili lilifanya propaganda za...
Tukubali kuwa mfumo wa vyama vingi uchaguzi huu umeonesha kufeli na kwamba wanatuchezea akili kwa sababu kila ninakopita mabango ninayoyaona ni ya CCM tu kwanzia mgombea wa Urais, wabunge hadi...
Wakuu,
Kuna video nimekutana nayo huko mtandaoni ya Afisa wa Polisi akiwa anamfokea mstaafu kwa kukaa kijiweni bila kuwa na kazi maalum.
Kwenye video hiyo, huyu Polisi kwanza kabisa anaongea na...
Hii tabu, mateso, jasho na damu kwa sisi watu weusi sio vya kawaida , nawaambia wakuu sio kawaida.
Kila kitu cha hadhi ya duni lazima namba moja iwe afrika, upumbavu, ujinga, kuoneana, magonjwa
Leo nilinunua kifurushi cha intaneti kwa njia ya mpesa. Muamala ukatoka freshi, intaneti ikashika.
Ghafla nikaletewa ujumbe ukisema salio langu halitoshi nichukue mkopo wa Tsh. elfu 4!🤔🤔
Bahati...
Habarini wakuu,
Stanley ni kijana wa Kikenya aliyezamia USA zaidi ya miaka 10 iliyopita yaani kiufupi ni muhamiaji haramu. Sasa upwiru umemponza, alikutana na binti wa miaka 15 mtandaoni...
Mpendwa wetu Kato Katunzi usiku wa kuamkia leo kafariki dunia kwa ajali mbaya ya gari. Mipango ya maziko inafanyika.
Taarifa nyingine zitafuata...
====
Kato Katunzi amepata ajali na kufariki...
Nimepost mada nyingi sana za ubunifu kwenye majukwaa mbalimbali hasa
Ujenzi na makazi
Biashara na ujasiriamali
Hapa habari mchanganyiko
Jukwaa la picha
Chitchat
Mapishi
Urembo na utanashati...
Maisha ni safari ambayo unakutana na matukio mengi njiani , muombe Mungu mabaya uliyowahi kuyasikia yakiwakuta wengine wewe yasikukute na pia usifurahie matatizo ya wengine maana kesho yako ni...
Ajira za halmashauri nizahovyo sana naweza kusema ni mtu duni asiyejiweza kujitetea ndie atakubali kufanya kazi hizo, hapa nazungumza kwanzia mwalimu mpaka mwanasheria wa halmashauri wote hamna...
Wasalaam ndg zangu
Chuo Cha TIA Kuna uozo unaendelea ambao sio mzuri
Kuna wanafunzi almost 20+ kesi zao zimetoka kusikilizwa siku so nyingi lakini there is something fishy maana kesi kama hizi...
"Dira ni maono, unapokuwa na maono ambayo hayawezi kukutisha ni bora ungeacha kuota, kama taifa tumeamua kuota makubwa. Suala lingine ambalo tumeweka kwenye shabaha ni uwezo wetu wa kutumia umeme...
Katika maeneo ya kazi, viwanjani, au kwenye mikusanyiko ya watu kutoka sehemu mbalimbali, kunaweza kutokea watu ambao huanza kuzungumza lugha zao za asili tena mbele ya wenzao wengine...
Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Mhandisi Mkama Bwire, amefanya ziara ya kukagua upatikanaji wa maji katika maeneo ya Ubungo, Mburahati, Magomeni, Saranga na Kinyerezi. Ziara hiyo imelenga kubaini...
Nimemsikiliza huyu mzee ameongea kwa uchungu sana na ameonyesha namna nchi inavyoendeshwa hovyo sana.
Anaeleza namna ambavyo mipango ilivyopangwa Mke wa Kikwete Salma Kikwete uchaguzi wa mwaka...
Kutoweka Kwa sarafu ya sh 100 kama ilivyo ya sh 50 hii ni hatari kiuchumi
Hizi sarafu mnazitoa kwenye mzunguko makusudi ili iweje
Kenya Kwa sarafu ya KSH 20 unanunua mkate wa familia vocha n.k...
Kutoka 21:2-6 ” Ukimnunua MTUMWA wa Kiebrania, atakutumikia muda wa miaka sita; mwaka wa saba atatoka kwako HURU bure.
3 Kwamba aliingia kwako peke yake tu, atatoka hivyo peke yake; kwamba ameoa...
Watu wa Tanga wananiacha hoi sana sijui wanashida gani hasa hawa watu aisee mimo nimewa define neshindwa kuwaelewa ni watu ambao kutaka kuwatolea laana wenzio ni dakika mbilo tu yaani mkipishana...
Habari zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, watu tisa wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa kwa ajali wilayani Chemba, Dodoma.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, Gallus Hyera...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.