Kwa sasa mafundi wanalipiga lipu nje ukutani limenivutia Sana Ila sijapata nafasi kusoma kibao kujua client ni Nani? Msaada wajuzi wa mambo ni ubalozi, apartment, msikiti, au nyumba ya mtu.
Je, askari laki 2 wanawazeje kuzuia maandamano nchi nzima watakuwa kwenye vituo vya kupigia kura na barabarani nchi nzima kwa idadi hiyo ?
Sasa inamaana wananchi watawaogopa askari wawili watatu...
Wakuu, kila nikijaribu kufikiri ni mafuta gani haya yaliyoandikwa kwenye bajeti hii nashindwa kuyaelewa, ni mafuta gani yamemaanishwa hapa sisi walugaluga tutokwe na tongotongo
Usiombe yakukute, kunja nne uhadithiwage tu
Ni kijana msomi, alipomaliza degree yake alipata udhamini wa kusoma masters, alipomaliza tu akapata ajira, kwa elimu yake na taasisi alipo mambo ni...
Habari Tanzania !
Naomba kuwapa changamoto Bank of Tanzania (BOT), Commercial Banks; Taasisi zote ndogo za fedha na Mitandao ya simu inayofanya miamala ya kifedha nchini.
Kwanini pasiwepo na...
Barabarani hapa karibu kabisa na kituo cha osterbay polisi kuna gari NI la polisi ila linafanana na Yale ya jeshi la IDF kwa juu kina kama radar inazunguka Ile kazi yake ni Ku detect kitu gani...
Uongozi wa kampuni ya loliondo mnahitaj kuwafanyia semina elekez watumishi wenu kitengo cha mizigo
Ipo hivi-:
Tulipanda garI kutoka mwanza kuelekea arusha na tulipokaribia kufika Babati zikiwa...
Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi 2022 kwa Wasanii ambapo jumla ya wasanii ni 96,727
Tanzania bara 88,365
Zanzibar 8,362
Mkoa wa Dar es salaam umeongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wasanii...
KUPATWA KWA JUA TAREHE 21
Katika siku za hivi karibuni turishudia tukio la blood moon, mwezi kuwa kama damu ambali kitaalam linaitwa kupatwa kwa mwezi.
Sasa kuna tukio lengine la kupatwa kwa...
Mnamo Septemba 18, 2025 katika mahakama ya wilaya ya Nachingwea limefunguliwa shauri la Uhujumu Uchumi namba 22689/2025 mbele ya Hakimu Mwandamizi Mkuu Mh.J.Mnguto, Jamhuri dhidi Seleman Ajibu...
Wakuu habari za wakti huu.
Leo nimelileta mezani hili jambo.
Jamani Dar hali sio shwari mitaani kwani kuna ongezeko kubwa la mashoga au makaka poa kila kona ya jiji.
Wengine ni waume za watu...
Wakuu habari.
Moja ya shida kubwa inatugharimu sisi wanazi wa Simba kukosa furaha na timu yetu kutoeleweka ni kutokana mambo ya kuendekeza ushikaji na huruma za kipuuzi. Mfano zaidi ya misimu...
Taarifa za hivi punde kutoka Bukoba ni kuwa polisi wawili waliokuwa na tabia ya kuzizia wananchi na kuwatoa rushwa wamevamiwa na wananchi kisha kupigwa mithiri ya vibaka kabla ya kuokolewa na...
Shalom wakuu,
Naomba kama kuna Mchungaji wa Kanisa la Kilutheri humu(KKKT) au muumini mbobezi anisaidie kunijibu maswali haya;
1.Kwenye Kitabu cha Tumwabudu Mungu wetu ukurasa wa 489 kuna Imani...
Arusha,
Ilikuwa ni mwezi wa saba kama huu, Mwaka 2017 nilikuwa Ndo nipo form four [emoji16][emoji16][emoji16] (Najua me bado nyokaa sana kwa wengi wenu humu ndani ila fresh sio kesi) Ilikuwa ni...
Wakati Tanzania ikiendelea na harakati za Uchaguzi Mkuu, October 29, 2025, Huku hali ya kisiasa ikiwa na sintofahamu nchini.
Ripoti ya Country Governance and Government Index (CGGI) Imeorodhesha...
Hapa siandiki kama mpiga zumari wa CCM wala siandiki kwa mihemko wala mahaba ya siasa bali nawachana ukweli wanaojidai kuhamasishana ujinga
Tanzania kwa kiasi kikubwa zaidi ni waislamu na...
Kwanza naheshimu serikali na natambua juhudi yake katika kuhudumia wananchi, kulinda na kudhibiti taarifa zao.
Zamani sehemu ya huduma kwa jamii ambayo ilikuwa na usumbufu namba moja ilikuwa ni...
Kwa mara kadhaa zisizopungua tatu na zikiachana kwa muda wa zaidi ya mwaka mmoja nimekuwa nikipata ndoto mbaya sana zinazopelekea kukosa usingizi hadi asubuhi.
Kuna muda huwa nawaza huenda huwa...
Habari, kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu. Mimi nina uzoefu kwa kiasi juu ya vyakula kwa kuwa ni mtafiti, tabibu na pia ninamiliki duka la rejareja.
Ingawa sipati muda wa kukaa mara...