Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hii bank imenikwaza Sana pesa zangu baadhi baada ya marekebisho zimepotea na bank statement inaishia siku yangu ya mwisho Kutoa pesa. Sasa juzi Jana na leo nimefanikiwa kutoa pesa zangu zote...
16 Reactions
145 Replies
6K Views
.......... Wastaafu mnawanyima mafao yao kwa sababu zisizo na misingi yoyote why?
0 Reactions
4 Replies
209 Views
Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu K/koo na maeneo mengine nchin yuko nyuma ya nan? Wanabodi kama uzi ulivyokaa hapo juu huyu ni mfanyabiashara wa...
21 Reactions
575 Replies
70K Views
Wakili Peter Madeleka ambaye pia ni Mgombea Ubunge Jimbo la Kivule kupitia chama cha ACT Wazalendo leo Septemba 25, 2025 akizungumza na waandishi wa habari ameelezea kisa cha kesi ya Johanna...
0 Reactions
1 Replies
218 Views
Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Veronica Muhale (40), Mkazi wa Kata ya Endagaw, Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, anadaiwa kumjeruhi Mume wake Josephati Kasi (45) kwa kuzikata kwa kisu...
7 Reactions
102 Replies
3K Views
Ni jambo la ajabu sana kuona nchi ambao raisi anatembea na msafara wa magari zaidi ya 100 ila wananchi hawana maji ya uhakika. Huku vyanzo kibao vya maji vimewazunguuka. Yani wanakula na kipofu...
1 Reactions
0 Replies
129 Views
Mzee Emil Lesheya Woiso amefariki leo asubuhi. Msiba upo nyumbani kwake Tegeta karibu na IPTL. Alikuwa mmiliki wa Tarakea Restaurant pale Mwenge na Cornelius Girls Secondary School pale Tegeta...
27 Reactions
326 Replies
38K Views
Mkurugenzi wa Tume ya TEHAMA, Dkt. Nkundwe Moses Mwasaga wakati akifanya mahojiano na kituo cha redio cha Mjini FM ameeleza kuwa moja ya hasara kubwa za habari potofu kwenye taifa ni kusababisha...
0 Reactions
0 Replies
166 Views
Wasalaam nyote. Wakuu sipo kwa ajili ya kuharibu biashara au brand ya kampuni yoyote ile, kwani mie sina ubiya wala ushindani na yeyote. Ila Wallah, leo hii katika kutoa pesa zangu katika benki...
-1 Reactions
7 Replies
445 Views
Mwanachama wa ACT Selemani Bungala Maarufu kama Bwege anaeleza kuwa wakati mambo yanatokota kipindi cha Mbowe pale CHADEMA, Heche na wenzake walitaka kuhamia ACT Wazalendo lakini Zitto aliwakataa...
2 Reactions
9 Replies
428 Views
Habari za asubuhi Hawa waislam wa Ansal sunn sijui ndo inaandikwa hivyo wale wanaovaaga don't touch my shoes aisee wengi wao ni waaminifu ukifanya nao biashara! Nimeshafanya biashara na wa...
9 Reactions
48 Replies
2K Views
Kufuatia kitendo cha wananchi kupigana na wengine kuibiwa simu wakiwa kwenye foleni wakipigania kupata vitambulisho vya NIDA, Halmashauri ya mji wa Njombe imelazimika kuongeza wiki moja ya kutoa...
0 Reactions
10 Replies
484 Views
Khun Sa (aliyejulikana pia kama Chang Chi-fu au Sao Mong Kwan) alikuwa kingpin wa biashara ya madawa ya kulevya na mwanaharakati wa kivita kutoka Myanmar (zamani Burma). Alizaliwa tarehe 17...
1 Reactions
3 Replies
323 Views
Kumbe hii CRDB ndo inaendelea kutuletea matatizo mpaka Leo , ndoa Sasa zitavunjika, wengine tarehe za kupewa mshahara zimefika, ila waajiri Kila wakijaribu kuhamisha mishahara kwenye account zetu...
1 Reactions
0 Replies
241 Views
Hospitali ya Taifa Muhimbili imekanusha taarifa inayosambaa mitandaoni kuwa imewafuta kazi wafanyakazi 200 kwa kuwa haina fedha za kuwalipa. Taarifa iliyotolewa na hospitali hiyo imesema hadi...
0 Reactions
5 Replies
287 Views
Mohamed Yussoufeli ni raia mwenye asili ya India Kwenye utawala wa Magu alikabiliwa na kesi 199 zikiwemo za kutakatisha fedha, mikataba ya ulaghai, ufisadi na ukwepaji Kodi kiasi cha billion 15.6...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Polisi hampaswi kujiulizauliza mtu wa kuanza nae ni Farsi Burhan Mwenyekiti wa Uvccm mkoa wa Kagera ambaye mwaka jana alijitangaza kuanza kuteka watu na kuwaonya kuwa inaootokea mtu akatekwa...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imemuhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Abel Stephano baada ya kumkuta na hatia ya kumuua mkewe Nuru Karim, kwa kumnyonga na kamba ya viatu. Licha...
5 Reactions
69 Replies
3K Views
Ulikuwa wapi? Mbona umechelewa? Ila sio mbaya japokuwa umetukuta na makovu makubwa sana yaliyosababishwa na hawa mabepari kwa kutushushia vitu vizito pasi na huruma Kwa sasa, vijisenti vyangu...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
ULIAMBIWA YALIYOTOKEA KATIKA KUUKARIBISHA MWAKA 2000? Karibu na mwaka 2000 (mwaka wa kubadilika karne na milenia), kulikuwa na taharuki kubwa sana ya kidini. Watu wengi waliamini kuwa huo ndio...
5 Reactions
23 Replies
743 Views
Back
Top Bottom