Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huo ndiyo utaratibu Wakuja kukuteka Kabla hawajaamua nini cha kukufanya wanaangalia kuna ushahidi, kuna watu wameturecord au kupiga picha, kama hamna wanafanya walichopanga kufanya, kama kuna...
5 Reactions
12 Replies
458 Views
Alice Hause ambaye ni Mjane wa marehemu Justice Rugaibula leo September 25,2025 amewasilisha maombi madogo Na.24541/2025 katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Ardhi, akiomba zuio la muda la...
0 Reactions
1 Replies
249 Views
Sijui nina kimewapa kujiamini hivi? Ila shida za mwananchi mtaani zimesuswa zaidi, na hawajali kabisa. Pole mama John kwa kukanyagwa jana pale kituoni Kimara kipindi cha purukushani za...
2 Reactions
5 Replies
196 Views
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa tarehe ya mwisho ya kuwasilisha maombi ya mikopo imesogezwa mbele kutoka tarehe 31...
3 Reactions
4 Replies
749 Views
Najua lengo lenu. Mnataka niseme mtoa rushwa mkubwa kisha mnifuatilie mnikamate. Nyie mnamfahamu vizuri ambaye alitoa rushwa kwa wananchi na ameendelea kutoa. Mnafahamu wananchi wanapewa mpaka...
4 Reactions
4 Replies
342 Views
ULIAMBIWA YALIYOTOKEA KATIKA KUUKARIBISHA MWAKA 2000? Karibu na mwaka 2000 (mwaka wa kubadilika karne na milenia), kulikuwa na taharuki kubwa sana ya kidini. Watu wengi waliamini kuwa huo ndio...
3 Reactions
10 Replies
404 Views
ELIMU YA VITO NDANI YA MAANDIKO YA KALE. Tutaangazia maandiko kutoka kwenye Kitabu cha cha Mafumbo (The Book of Codes) maarufu Biblia. Bila shaka mnajua kwa nini The Bible ni 'the most authentic...
0 Reactions
0 Replies
200 Views
Paka anauwezo wa kukufanya usionekane. Uwezo huu ukiutaka ni rahisi tu Chakufanya ,tafuta paka kish muue😭😭 Baada ya hapo ,mzike Ila hakikisha macho yake yanaangalia juu ,ukisha maliza juu ya...
8 Reactions
84 Replies
2K Views
Primi Mushi au Edward Mushi anajulikana vilevile kama Kuringe. Ni mkazi wa Mbezi Makonde na mmiliki wa Kuringe Social Hall na Hall Red zote zipo Mbezi Makonde. Ni maarufu kwa kununua maeneo yenye...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Kila askofu wa kilutheri, japo si wote, akitambulishwa lazima awe daktari. Je, haiwezekani kuwa Askofu bila kuwa daktari? Je, wanapeana udaktari au kuusotea vilivyo? Kuna haya ya kuchunguza lau...
0 Reactions
7 Replies
310 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia na linaendelea kumhoji mkazi wa Mtaa wa Temeke kata ya Mhandu, wilaya ya Nyamagana, Loveness Daniel Kisile (30) kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo...
1 Reactions
4 Replies
332 Views
Mtandao wa Kupambana na Umaskini Duniani (Global Call to Action Against Poverty – GCAP), tawi la Tanzania, umetaka kuchukuliwa hatua za haraka na za kimkakati kukabiliana na umasikini na ukosefu...
0 Reactions
2 Replies
246 Views
Ni takribani masaa 12 sasa tangu BBC Swahili kuchapisha habari inayomhusu mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Chivayo, ikiwemo picha yake akiwa Ikulu ya Tanzania. Tukio hili limeibua mjadala mzito...
15 Reactions
42 Replies
2K Views
Aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, aliwahi kusema kupitia njia ya mtandao kwamba atafichua uozo uliopo ndani ya mradi wa mwendokasi. Kauli hiyo bado inabaki vichwani...
0 Reactions
2 Replies
300 Views
Wazazi wengi wamekuwa na maono mafupi kwa kuwa wagumu kurudi nyuma kuiona picha kamili ya maisha ya watoto wao. Wazazi wanahangaiko mtoto ajue kutafuta thamani ya X, kujua log 10 = 1, kukariri...
2 Reactions
8 Replies
349 Views
Wananchi Mwanza walia shida ya maji, Serikali yawatoa hofu huduma kurejea leo "Tunaomba maji yapatikane kwa haraka, kwa sababu kama nilivyosema mwanzo kwa sababu watu sahizi wanatumia maji ya...
1 Reactions
15 Replies
382 Views
Maelezo yaShukrani Kyando, Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Dar es Salaam, Shukrani Kyando kuhusu mwanamke aliyeonekana kufukuzwa kwenye nyumba yake eneo la Mikocheni. Soma > Mjane wa Justice...
3 Reactions
76 Replies
2K Views
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekabidhi rasmi eneo kwaajili ya uwanja wa Ndege wa Kimataifa Kisiwani Pemba ambao utagharimu Euro Milioni 170 ili kufungua fursa za kiuchumi kisiwani Humo...
0 Reactions
6 Replies
313 Views
KIBURI ni kati ya tabia ngumu sana kujigundua kama unayo au la. Na kwa sababu ya ugumu wa kujigundua, ndio maana imeliza watu wengi Naweka hapa mambo kadhaa TUJIPIME SOTE KAMA TUNA DALILI ZA...
32 Reactions
47 Replies
9K Views
Back
Top Bottom