Kanisa Katoliki Jimbo kuu la Dar es Salaam limeeleza kuwa warsha ya Kijimbo kwa waamini wote wa Kanisa hilo itafanyika Novemba 29, 2025 katika Viwanja vya Parokia ya Kristu Mfalme Tabata na si...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam, Edward Mpogolo, amesema migogoro ya ardhi ni changamoto ya kimataifa inayohitaji suluhu endelevu, huku akibainisha kuwa mabaraza ya ardhi ya kata ni...
Yer 11:10 SUV
[10] Wameyarudia maovu ya baba zao, waliokataa kusikia maneno yangu; wamewafuata miungu mingine na kuwatumikia; nyumba ya Israeli, na nyumba ya Yuda, wameyavunja maagano yangu...
Yer 10:10 SUV
[10] Bali BWANA ndiye Mungu wa kweli; Ndiye Mungu aliye hai, Mfalme wa milele; Mbele za ghadhabu yake nchi yatetemeka, Wala mataifa hawawezi kustahimili hasira yake.
Imani zipo...
TRA wamekuwa wakifunga maoni kwenye posti zao. Sasa najiuliza kwani wao wanafanya kazi na wananchi au wanafanyia maelekezo kutoka juu.
Kama TRA inafanya haki kwa nini hawaweki maoni wazi ili watu...
Hii nyama huwa ina mafuta sana.
Hivi wakaanga kitimoto cha biashara huwa wana uhitaji wa kununua mafuta ya kukaangia au mafuta ya kitimoto chenyewe yanatosha kukaangia?
Hivi kama sio hivi, nadhani hata zambarau ina watu weng sana kuliko nzi wa kijani, hii nimeishuhudia baada ya hili tukio kufika wilayani kwangu nilijua labda watu wanazusha.
Hivi kumbe taasisi za...
Taasisi zote za serikali ni rushwa tu kila kona afu leo mnataka kupinga rushwa wkt ninyi bado mnakula rushwa za mabillioni na uchafu
Mnawalipa bodaboda ili wajaze mikutano yenu hii ni rushwa au...
MSOMI: MASHINE YA KIWANDA AU ROHO INAYOKIMBA?
Huyu msomi! Huyu anayejivunia degree yake, akajilaumu kwa mshahara wa laki tano! Je, tuseme kweli: yeye si kiumbe, yeye ni mashine iliyotengenezwa na...
Kwani watu wamekuwa wanyama hada viongozi wa kiafrika wanaojilimbikizia mali na kujikita kwenye ufisadi mkubwa hivyo ni vyema Mungu akawezesha viongozi wa kiafrika au utajiri wa mwafrika usizodi...
Mungu ana uwezo wa kuongea na kila kiumbe moja kwa moja sasa ilikuwaje awatume warabu na wazungu ndiyo waje kutueleza habari zake na wasiwe wachina,wahindi,wakorea,waafrika,nk?
Waafrika Tujitambue!!
Maisha ya tanzania watu wanapitia maisha magumu sana na sote pia tuliopo hapa jamiiforum.
Kwa maisha ya tanzania kutimiza ndoto kama Dream country ilivyo nchi kubwa ni ngumu.
Mfano na rafiki...
Ni aibu kwa Taifa kama langu kutojua kabisa Vyanzo vya uhakika vya Kuingiza mapato. Tukiwadharau na kuwaambia kuwa HAMNA AKILI mnakimbilia KUTUCHUKIA na kutuundia VIKAO vya VIMKAKATI vya...
Habari Tanzania !
Tunawaomba TANESCO na Wizara ya Usafirishaji na Uchukuzi si mtupatie hii huduma watu wa Mwanza maalumu wakazi wa Milimani.
Mfunge Usafiri waya kutoka:
1. Mkuyuni - Bugando -...
Sitaki salamu, ninaingia kwenye mada moja kwa moja. Wazungu wanasema experience is the best teacher. Ajali ya kuanguka ghorofa la Kariakoo imenipa mafunzo mengi. Bila kupoteza muda, ajali hii...
ulinzi ni jukumu la kila raia , sasa tukiweka ulinzi tu kwa viongozi pekee tukawaachia raia mzigo mkubwa wa ulinzi wao. itakuja kuwa backfire vibaya sana. sio salama sana viongozi kuzungwa na watu...
TANESCO mnazingua sana. Mmekata umeme baadhi ya maeneo ya Kitunda toka jana saa 3 asubuhi na mpaka leo muda huu hamjarudisha.
Mkipigiwa simu namba zenu za hotline, hakuna jibu la maana mnatoa...
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) pamoja na majukumu mengine hufanya ufuatiliaji wa bidhaa za mbogamboga ili kuhakiki usalama wake. Kilimo cha mazao ya mbogamboga, hutumia viuatilifu ili...
Kumekuwa na tabia ya viongozi hasa watendaji wa vijiji kuwakumbatia wakimbizi kutoka kongo na burundi na kupokea pesa kwaajili ya kuwahifadhi na hata kuwapatia vitambulisho vya kuoigia kura na...
Vincent Cosmas Mwagala, Askofu wa Jimbo Katoliki la Mafinga anaongea muda huu na waandishi wa habari kuhusu sakata la kupotea kwa Padri na kuonekana tena Mbeya.