Candela JF-Expert Member Joined Aug 12, 2021 Posts 901 Reaction score 2,448 Sep 22, 2025 #1 TRA wamekuwa wakifunga maoni kwenye posti zao. Sasa najiuliza kwani wao wanafanya kazi na wananchi au wanafanyia maelekezo kutoka juu. Kama TRA inafanya haki kwa nini hawaweki maoni wazi ili watu watoe madukuduku yao.
TRA wamekuwa wakifunga maoni kwenye posti zao. Sasa najiuliza kwani wao wanafanya kazi na wananchi au wanafanyia maelekezo kutoka juu. Kama TRA inafanya haki kwa nini hawaweki maoni wazi ili watu watoe madukuduku yao.
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 16,661 Reaction score 39,016 Sep 22, 2025 #2 Hao TRA wajiangalie sana ni taasisi inayochafuka Kwa kasi
Duh Aisee JF-Expert Member Joined Jul 28, 2025 Posts 916 Reaction score 579 Sep 30, 2025 #3 Wafanyie kazi hili