Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nakariri maneno ya Hayati Robert Nesta Berhane selasie Malery alisema katik Rat Race " I abudance of water the fool is thirsty". Kwamba mji wa Mwanza ulioko pembezoni mwa Ziwa victoria, likisemwa...
4 Reactions
50 Replies
1K Views
Ni muhimu serikali iache kiburi. Kuomba radhi ni ishara ya uungwana na uwajibikaji, siyo udhaifu. Badala ya kutisha wananchi kwa kauli za kupiga na kuwavunja miguu, viongozi wanapaswa kutafakari...
3 Reactions
16 Replies
626 Views
Anonymous
Tunapenda kuwakumbusha kuwa ni takribani mwezi mmoja sasa tangu Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alipozindua rasmi chanzo kikuu cha maji kwa Jiji la Mwanza — tukio ambalo...
2 Reactions
11 Replies
596 Views
Ikumbukwe kwamba Tarehe 14 mwezi October 2024 katika Maadhimisho ya Kilele cha Mwenge wa Uhuru Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumzia hali ya huduma ya...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Jiji la Mwanza lina kumbwa na Changamoto ya mgao mkali wa Maji. Huwezi kuamini Tz ni nchi ya aina gani? Na hali ya kushangaza Jii lililo mita 60 kutoka ukingo wa Ziwa Victoria Pande zote iwe...
8 Reactions
29 Replies
2K Views
Wananchi wanataka usimame hadharani juu ya mambo mawili makuu ambayo yamegeuka mateso makubwa na fedheha kwa jiji: Maji – Takribani mwezi mzima chanzo cha Butimba kimeharibika. Ulizindua mradi...
2 Reactions
6 Replies
225 Views
Ukweli Mchungu Viongozi wa mkoa wa Mwanza wanaendelea kukwepa ukweli na kugeuza hali ya maji kuwa siasa. Tayari ni takriban wiki ya tatu sasa jiji la Mwanza linakumbwa na ukosefu mkubwa wa maji...
7 Reactions
21 Replies
787 Views
Mazungumzo yasiyosikika ni asilimia tisini ya mazungumzo yetu yote yanayosikika kila siku katika maisha yetu. Mazungumzo yasiyosikika ni yale tunayoongea wenyewe kwenye bongo zetu, tunapanga...
44 Reactions
174 Replies
23K Views
Maelezo ya picha,Baadhi ya watu walipotea katika mfululizo wa matukio ya utekaji nchini Tanzania Maelezo kuhusu taarifa Author,Sammy Awami Nafasi,BBC Swahili Akiripoti kutokaTanzania Saa 3...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Habarini wandugu, Kumekuwa na changamoto kubwa sana ya kuachwa na mabasi kwa sisi abiria tunaotoka maeneo ya kimara na nje ya mji tunaotumia usafiri wa mwendokasi kwa nyakati za asubuhi. unakuta...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Nimeshtuka kuona waafrika wana hizi mindset. Yaan yupo radhi aachie dili ya mamilioni kisa tu uliyeleta hiyo dili ni mtu binafsi!! We manager ni zero brain kabisa!! Najua huu uzi utausoma NB...
10 Reactions
23 Replies
976 Views
Wadau, Watanzania wamechoka na huu utawala. Yani Tiktok ni mtandao ambao wabongo wameu criticise sana ila kwa sasa ndio mtandao unaoongoza kwa kutokuwa na vijana waoga Nyie, kumbe ukiwa...
12 Reactions
23 Replies
1K Views
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba (kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela (kulia) wakati wa mkutano wa kujadili utekelezaji wa...
1 Reactions
9 Replies
415 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewaomba radhi watumiaji wa mabasi ya mwendokasi kutokana na upungufu wa mabasi, akiwahakikishia kuwa muda wowote tatizo hilo litatatuliwa. Soma >...
2 Reactions
15 Replies
599 Views
Leo bwana mda huu inaonekana wale walioacha kuutumia huu usafiri wamerudi hivyo kufanya hali iwe ile ile maana yake abiria wameongezeka mara 2 na hizo gari bado ni chache wasipojipanga watapangwa...
1 Reactions
13 Replies
403 Views
Mwanamke mwenye umri wa miaka 36, makazi wa Mtaa wa Kilimanjaro, Kata ya Kihonda – Morogoro, amefariki dunia akidaida kufanya jaribio la kutoa ujauzito. Nini kifanyike ili kuzuia matukio kama...
2 Reactions
14 Replies
444 Views
Kuanzia tarehe 8 September bank hii ilipoanza kubadilisha system yake ya zamani mpaka leo 30 September hali ya wateja ni tete. Miamala iliyotakiwa kuingia au kutoka kwenye account haijulikani...
2 Reactions
10 Replies
582 Views
Wana jamii juzi jumapili tarehe 28-09-2025, kuna dogo aliniambia kapata kazi ya kuwa tingo(tanboy) wa magari makubwa ya masafa marefu. Hivyo basi kuna mahali amekwama kiasi kidogo cha pesa...
1 Reactions
8 Replies
512 Views
Kutokana na kero ya usafiri na uhaba wa mabasi ya mwendo kasi, wananchi wenye hasira kali wamevamia ofsi za tiketi na mabasi ya mwendo kasi na kuanza kupasua vioo na kuumiza wafanyakazi wa kampuni...
18 Reactions
153 Replies
6K Views
Abiria ambao walikuwa kwenye usafiri wa daladala Eicher T 798 EDZ walijikuta katika taharuki baada ya gari hilo ambayo walikuwa wanasafiria kutoka Masaki kwenda Gongolamboto kuwaka moto kwa chini...
1 Reactions
8 Replies
337 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…