Maisha ya bongo ni jihadi kwa kweli! Ukiwa mkimya utasemwa unajisikia na ukiwa muongeaji utaitwa mjuaji licha ya haya usiache kuishi kwa namna yako
"MTAZAMO WAKO KWANGU NI TASWIRA YAKO"
Kuna...
Hii ni mifano tu Saddam Hussein, Muhammad Kadafi, kina Polepole hawa ni watu majasiri sana na upambana kwenye ardhi zao hata kukubali kufa katika ardhi zao.
Hakika Mungu uinua watu wake hakuna...
Hakuna binadamu yeyote ambaye anaijua kesho yake. Je, hali ya binadamu kutokujua nini kitatokea muda mchache mbele yake ni majaaliwa ama ni nini?
Je, kuna nguvu yoyote inayoonekana ama...
Tunaona mara kwa mara operations za kuwaua baadhi ya viumbe hasa wanyama kwa sababu fulani fulani.
Sikatai uhai wa binadamu ni muhimu na unatangulizwa mbele (unapewa kipaumbele) dhidi ya uhai wa...
Kuna mwenge wa uhuru na bendera ya taifa, viwili hivi naona kama vina thamani sana kuliko alama nyingine za Taifa. Mwenge ukipitishwa askari wenye sare wote watapiga salute, kadhalika wakati wa...
Kwa jinsi wenzetu wanavyojipenda na kututazama kwa dharau, naamini kama chanzo cha Mto Nile kingekuwa Misri, basi hali ingekuwa tofauti kabisa.
Waafrika wa chini ambao mto huo unapita wangekuwa...
Jeshi la Polisi kama lilivyotoa taarifa yake jana Oktoba 6,2025 kwamba, limeanza uchunguzi wa tuhuma zilizo tolewa na Augustino Polepole kuwa, ndugu yao Humphrey Polepole ametekwa, jalada la...
Ningependa kupata muongozo, yaani kwa hapa Dsm tunakutania wapi? Au unajitokea tu kwa rodi unawasikilizia wenzio. Ningependa kupata muongozo nisije kutoka na bango langu na kuwa chambo wa mfano...
Huwezi amini nimem win Mange kisaikolojia. Kwenye ile posti yake ya juzi ya BOT kuprint matrillion nilimkera Sana dada wa Taifa.
Halafu nikacopy na kupost na kupaste kama mara mia mfululizo...
Habari naomba ushauri ni microwave oven ipi nzuri kuchoma nyama, kuku na samaki ambayo ni durable na yenye bajeti isiyozidi laki nne brand iwe yoyote ila Hisense itapendeza zaidi
Katika utekelezaji wa ahadi ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Mwalimu Yusuph Ibrahim mwenye ulemavu wa mguu leo Oktoba 13, 2025, amekabidhiwa mguu wa bandia wenye thamani ya Tsh Milioni 46 kama...
Nimeamua kuandika uzi huu kutokana na yale ambayo yananisikitisha sana nionayo katika jamii yetu
Huwa tunapenda kushindana na watu katika maisha yetu bila kujua kwamba mwisho wa siku...
Nimeona niwatoe vijana Tongo tongo hasa wale wanaojitafuta mtu akijipinda akioata 10m anaenda kununua gari za mkononi zilizotumika na wabongo akizani ni kitonga
Jamaani kwa utafiti niliowahi...
Kamandi ya Jeshi la Anga ni moja ya Kamandi muhimu zinazounda Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania kiutendaji, kivita na kiutawala. Kamandi ya Jeshi la Anga inayo majukumu ya ziada ya msingi...
Dunia ina mengi Leo nimeshangaa Shahidi ambaye ni Afisa wa Police kusema alipata Elimu ya Degree mambo ya Mafriji huko Nairobi
Hivi chuo kikuu kitaamua kudahili na kutoa elimu ya mafundi fridge...
Habari za Leo jumapili ndugu zangu Natumaini nyote na mnaendelea na majukumu, Leo nikasema nifue nguo zangu hapa Nyumbani, Leo jumapili ila sabuni dukani huko Nina deni nifanyeje, hiyo Asubuhi...
1. Tupunguze ujuaji na wivu kwa waliofanikiwa (wakiwemo Wafanyabiashara na viongozi wetu).
2. Tufanye kazi kwa bidii. Tulipe Kodi bila shuruti. Tutafanikiwa.
#OktobaTunatiki.
NB: Viongozi wetu...
Mwaka 1992 uliandikwa kama mwaka wa mabadiliko makubwa katika historia ya kisiasa ya Tanzania. Baada ya miaka mingi ya mfumo wa chama kimoja uliotawaliwa na TANU kisha CCM, shinikizo la kisiasa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.