Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii Waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na makundi maalumu, Doroth Gwajima ametoa cheti kwa mwanaumea aliyekimbiwa na mkewe siku ya harusi kutambua...
5 Reactions
31 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia Justine Gama (40), raia wa Malawi anayeishi mjini Mzuzu nchini humo, kwa tuhuma za kukutwa na vipande vya pembe za ndovu kinyume na sheria za uhifadhi...
1 Reactions
4 Replies
302 Views
Septemba 16 2024 Dunia ilipata taarifa kuwa Sean Combs ametiwa nguvuni na mamlaka na kuzua gumzo kubwa sana katika vyombo vya habari duniani, siku chache baadaye chombo cha habari cha TMZ...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Ila hii nchi vyama kama CCM, viongozi wa dini na Askari huwa ndo wanafanya maandamo ya amaniila mtu mwingine akijaribu tu wanaita vurugu. Tumeshuhudia kila wananchi wanaposema wanfanya maandamano...
0 Reactions
1 Replies
141 Views
guest-1788672427
??
6 Reactions
70 Replies
3K Views
Mzee kauliza swali zuri sana sio mnawaambia watu mtoke mkatiki oktoba, hata tusipotiki mmeshapita maana hatujui mnashindana na nani.
0 Reactions
0 Replies
109 Views
Huyu nae washampa laki moja na sado ya dagaa, miaka yote kapotea kwenye game sasa hivi anatupigia kelele za kupiga kura.
1 Reactions
3 Replies
182 Views
Leo ni kumbukumbu ya miaka 26 tangu alipofariki Baba wa Taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Nyerere, ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa iliyokuwa Tanganyika, kisha Rais wa...
0 Reactions
1 Replies
215 Views
Anaandika mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa X 1. Kanda ya Nyasa aliyetekwa ni mmoja Jina: Abedinego Sanga Cheo: Mwenyekiti BAVICHA Jimbo la Lupembe, Mkoa wa...
8 Reactions
38 Replies
1K Views
Serikali ya Venezuela imetangaza kufunga balozi zake nchini Norway na Australia na kufungua mpya katika mataifa ya Burkina Faso na Zimbabwe, ikisema ni sehemu ya “mabadiliko ya kimkakati” ya...
0 Reactions
0 Replies
147 Views
Naamka asubuhi na mapema nikiwa na njaa. Nachemsha chai nakumbuka kitafunwa sina. Natoka barabarani namwona mama muuza mihogo. "Niuzie ya mia tano!" "Subiri kidogo, ndiyo kwanza nimeiweka...
0 Reactions
2 Replies
237 Views
Habari wanajukwaa. Mnamo mwanzoni mwa September mwaka huu nilitengeneza kadi ya malipo ya mtandaoni(master card) kwa kutumia akaunti ya mix by yas. Kadi ile ilikuwa kwa ajili ya malipo ya ticket...
0 Reactions
14 Replies
542 Views
Naombeni wenye ujuzi wa haya mambo kwa mfano umekopa kwenye hizi micro credit wakawa wanakata hela Moja kwa Moja bank je ukiamua kubadilisha mshahara uuchukulie bank nyingine itakuwa umejiondoa...
2 Reactions
5 Replies
268 Views
Wakuu Kuna mwanamke kipindi Cha ujana tulifanikiwa kupata mtoto. Baada ya hapo nikawa nimetoka sehemu hiyo Sasa mwanamke majina yangu hakua anaya fahamu, Ikabidi mtoto apewe majina tofauti na...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Kwa yanayoendelea mpaka sasa, ninathubutu kusema kuna uwezekano mkubwa wanaomchukia SSH na kuona hatoshi hiyo nafasi ni wale walio ndani ya chama kuliko walio nje ya chama. Kuna ambao wamejitoa...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Huwa naona kwenye mazoezi yenu mnaimba nyimbo kama hii "Naapa Naahidi mbele za Mungu Tanzania nitakurinda mpaka kufa" "Sita simama maovu ya kitawala......" Ukizingatia kwa kile tunachokiona...
6 Reactions
16 Replies
676 Views
Kuna mwalimu w kiume alikataliwa na mwanafunzi sasa yule teacher hasira zake akaamua kuzimalizia kwa darasa zima asee tulipigwa fimbo za kutosha tena tulikuwa tunapigwa za mapajani (chinichini ya...
2 Reactions
5 Replies
427 Views
Wanahabari wametembelea Zahanati ya Kizimkazi iliyopo Mkunguni ambapo katika ziara hiyo wamejionea jinsi zahanati hiyo inavyofanya kazi na yenye hadhi ya hospitalI kubwa kutoka na kila huduma ya...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Huzuni imetawala kwa wakazi wa Mtaa wa Udindivu Kata ya Mapinga, wilayani Bagamoyo mkoani Pwani baada ya Mahakama ya Wilaya hiyo kutupilia mbali maombi yaliyowasilishwa na wananchi hao katika...
0 Reactions
6 Replies
277 Views
"Ili kuwe na amani lazima haki itamalaki, na hii ni kazi ya viongozi wote...wawe watenda haki, wasiopenda kuvuruga wananchi"-Balozi Mstaafu Brigedia Jenerali Francis Bernard Mndolwa Pia soma...
2 Reactions
3 Replies
265 Views
Back
Top Bottom