Ikiwa ndio anamalizia muda wake wa ukuu wa mkoa Arusha na kwenda mapunzikoni, wakazi wa jiji la Arusha tunakupongeza sana bwana Isidori kwakuliona hili tatizo la kusimamisha lile zoezi la watoza...
Nilijiunga na shindano la promotion ya BURE linaloendeshwa na VODACOM. Kwenye maelezo yao wameelekeza namna ya kujitoa kwenye shindano hilo la kila siku. Baada ya kujiunga kwa muda wa siku tatu...
Wiki iliiyopita tarehe 10 kitongojini Kashebeya, Kijiji Kaibanja, Kata Kaibanja wilaya Bukoba vjijini katika familia moja ya mzee Bagandanshwa kulikuwa na arusi. Vijana wake 3 walifunga ndoa...
Edwin Sambala mgombea udiwani wa kata ya Gangilonga (Chadema) akiwa ameduwaa ndani ya ofisi ya msimamizi msaidizi wa uchaguzi kata hiyo ambaye alitelekeza ofisi yake na kwenda kata ya KItanzini...
Wanajamii srekeali yetu ni wazi kuwa imeshindwa mpaka sasa kuhudumia raia wake huduma bora ktk sekta ya afya,elimu,maji,nishati,barabara na ardhi na sisi tumekuwa wavumilivu ktk haya.Chakushangaza...
Wana Jf
Kuna habari nilizipata juzi nilichelewesha kufikisha,inasemekana kuna mgonjwa anajulikana kwa jina la Mzee Nassor alikuwemo katika Mv Spice ilizama huko zanzibar Week iliyopita,mzee huyo...
kwa mujibu wa TBC,watu wanne wmefikishwa mahakamani kutokana na ajali ya meli mv spice,swali kubwa hapa je mbona hakuna afisa yeyote wa fordha,sumatra na wengine wote ambao kwa ujumla wanawajibika...
Wama jf poleni kwa kazi za ujenzi wa taifa letu, taifa tunalo lijenga kwa nguvu huku wengine wanabomoa.
Wana jf nimekuja kwa mara ya kwanza kabisa ili tushirikiane pamoja na kubadilishana...
Hii ni picha ya kwanza mimi kuiona kuhusiana na kuzama kwa MV spice islander...
Na hii ni picha inayoonesha kuzama kwa passanger ferry ya Trans Asia shipping lines iitwayo Asia Malaysia, hii...
TAARIFA ambazo zimethibitishwa na katibu wa CCM mkoa wa Mwanza Willson Mshumbusi ni kuwa Mkurugenzi wa taifa wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) Wilfred Rwakatare...
Kila mara ninapoangalia runinga zetu katika baadhi ya vipindi vya mahojianao nakutana na watu walewale wamealikwa katika vituo na vipindi tofauti tofauti vya TV vya hapa nchini. Ingawa ni kweli...
SERIKALI imeombwa kuangalia kwa upana suala la mchakato wa uandaaji wa katiba mpya kwa kuweka kifungu kitakachowasaidia mashoga kuondokana na adha na kero ya kunyanyapaliwa. Ombi hilo lilitolewa...
Huu mi nauita wizi, na wala sio offer, mwanzo ilikuwa msg 5, unapata msg mia! Hii ilikuwa pouwa sana, kwa mahitaji ya kawaida msg 100 zinatosha.
Sasa wameongeza, wamekuja na msg 10 ukituma...
Important for Safety - Please Read
Have you ever checked that - i have not !please let us all start checking our cylinders !THIS IS VERY IMPORTANT , DON'T IGNORE IT
Have U ever heard about LPG...
Hawa watu ni dangerous!
Fika South Africa uone walivyosambaza drugs!
Kumuona Mnigeria Tanzania ujue huyu ameshindwa kwenda Ulaya,either allikataliwa visa au deported.
Sijui kwa nini Uhamiaji...
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanali Massawe akitia sahihi hati ya kiapo mara baada ya kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete Ikulu leo asubui.
Rais Jakaya Kiwete amewaapisha wakuu wa mikoa wapya aliowateua...
Mali ya spice islander imezama, watu zaidi ya 100 wateketea kwa moto - kenya, watu 250 wateketea kwa moto DRC, soko la mbeya lateketea kwa moto, ndege yaanguka- wanne wanusurika, ndege yaanguka...
1. Director of Information Technology
For all the press that teachers and nurses
get for their long hours, low pay and
thankless tasks, it may be surprising to see
the most hated job was that...
Hospitali ya Taifa Muhimbili ilipokea mgonjwa toka Hospitali ya Mwananyamala tarehe 18/08/2011 akiwa mahututi na hajitambui. Inasemekana kuwa mgonjwa huyu aliokotwa na wasamaria wema barabarani...