Mashoga Dar wataka kutambuliwa kikatiba

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,488
15,185
SERIKALI imeombwa kuangalia kwa upana suala la mchakato wa uandaaji wa katiba mpya kwa kuweka kifungu kitakachowasaidia mashoga kuondokana na adha na kero ya kunyanyapaliwa. Ombi hilo lilitolewa jana Dar es Salaam na Bw. Abdul Zungu ambaye ni shoga na mwanaharakati katika tamasha la jinsia lililoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP).

Alisema kuwa kutokana na hali waliyonayo asilimia watu wengi katika jamii wamekuwa wakiwatenga na kuwanyanyapaa na kusababisha kuishi
kwa hofu na hata kutishiwa kuuawa kwa silaha. Alisema pia wapo baadhi ya mashoga waliopoteza maisha kutokana na kuuawa na wanapofuatilia huwa kesi zao hazitiliwi maanani kutokana na kukosa utetezi. "Tuna haja ya sisi kupata mwakilishi katika ngazi za maamuzi na ndio maana tunataka katiba yenye kututambua kama sehemu ya jamii inayopaswa kulindwa na kupata huduma za kibinadamu, " alisema Abdul.

Bw. Zungu alisema wanashangazwa na jamii kuwatenga na kuwanyima kuwapa huduma muhimu kwa tuhuma kuwa vitendo wanavyofanya havimpendezi Mungu. "Tunaiomba Serikali iangalie upya kwa kuweka kifungu ambacho kitatulinda kwani kutokana na hali yetu tumekuwa tukikumbana na kero mbalimbali ikiwemo ya kutengwa na jamii, " alisema.

Mshiriki huyo alisema kuwa licha ya umoja wao kuwa na sifa mbalimbali lakini wanapofanya maombi ya kazi katika ofisi mbalimbali wamekuwa wakinyimwa bila ya sababu. Alidai kuwa si kwamba hawana uwezo wa kufanya kazi yoyote ya kuwapatia maslahi bali kinachofanyika ni kukosa nafasi hizo na kujikuta hawana kazi ya kufanya na badala yake huendeleza ushoga ili kupata kipato cha kuwawezesha kuishi. "Kama Mungu angekua hatupendi basi hata leo sisi tusingeweza kuishi hapa duniani nanyi hivyo hakuna sababu ya kututenga kuishi nanyi. Haya ni matwakwa yake," alisema.

Kwa upande wa suala la afya alisema wamekuwa wakinyanyapaliwa hasa pale wapohitaji huduma hizo na wakati mwingine huduma hizo huzipata
kwa ubabe kwa baadhi ya madaktari ama kutopata kabisa. Alisema ni vyema Serikali ikawatambua mahali walipo ili nao waweze kuchangia katika mapambano ya kuunda katiba mpya ambayo itajibu mahitaji yao. "Kama katiba haitatutambua hakuna mtu ambaye anaweza akasimama kidete kututetea na badala yake ushoga utaendelea kila kukicha huku makundi yasiyokuwa na maadili yakiibuka ndani ya jamii," alisema.

Alisema mbali ya kundi lao ambalo linaonekana kutengwa pia kuna makundi mengi ambayo Serikali imeshindwa kuyatambua na kusema katiba nzuri ni ile inayogusa makundi yote ndani ya nchi yao. Naye Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA), Bi. Ananilea Nkya alisema njia pekee ya kujibu matatizo ya wananchi ni kupatikana kwa katiba inayotokana na matatizo ya wananchi wenyewe hivyo hakuna sababu ya kuanza kujadili idadi ya kurasa wakati matatizo hayajainishwa.

"Wakati mwingine utasikia viongozi wa Serikali wakikosoa jitihada za wanaharakati wakidai kuwa wanaleta mlolongo wa mambo mengi ni katiba gani tutakayoandika yenye kuingiza mambo yote hayo?, " alisema Hata hivyo kulikuwa na idadi kubwa ya mashoga katika tamasha hilo na kuwa kivutio kwa wananchi mbalimbali waliohudhuria ambao hawajapata kuwaona 'laivu' huku wengine baadhi ya wakiangua kilio na wengine kicheko.

GAZETI HURU LA KILA SIKU:: Mashoga Dar wataka kutambuliwa kikatiba
 

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
66,110
126,528
Hao mashoga watuhakikishie kwanza kama wanashika mimba ndio tutawatambua.
Pia watuambie wananyonyeshaje... Maana wasije sema nyonya ya baba yako.
Dohhhh sikubaliani kabisa na ushoga by any how
 

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,289
16,230
Over my dead body!!! Huo ni upmbav tukikubali ndo tujue watoto zetu tutaowazaa na wao wanafuata nyayo! Labda waende pande ya pili ndo wanashadadia ufirauni huo
 

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
66,110
126,528
Over my dead body!!! Huo ni upmbav tukikubali ndo tujue watoto zetu tutaowazaa na wao wanafuata nyayo! Labda waende pande ya pili ndo wanashadadia ufirauni huo
pande ya pili ofu ze coin, ze ship fall downi because of zat zat bad relationship with a sheep written arabic words
 

MAKAKI

Senior Member
Sep 2, 2011
166
5
PUMBAVU ZAO
WATAUAWA KWELI !
MBONA WANATAKA KUMKOSEA MUMBA WAO HADHARANI HAKUDA DINI INayosuhusu ujinga huu!
 

Biohazard

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
2,186
1,403
Huyu Bwana alileta hiyo mambo yako ya ajabu na mshua wake akampiga risasi sasa mie nitakayemuona mbele ya macho yangu nitamtia chuma cha moto huko kunakompa sifa. 792972.jpg
 
Mar 6, 2010
44
10
Kujaribu kusema kuwa kuna 'constitutional Homosexuality' ni jambo ambalo wana jamii tunabidi kuliangalia kwa undani sana! (Kwamba mtu anazaliwa akiwa anavutiwa kimapenzi na mtu wa jinsia yake). Baadhi ya mashoga wanatafuta sana justification katika kusema kuwa walizaliwa hivi! VERY VERY DEBATABLE IF NOT DOUBTFUL
Kuna baadhi walijikuta wanakwama kutokana na kile kipindi cha puberty..ambapo wengi wa watoto wanaingia katika hali ya 'transitional homosexuality'. Na kama mtu anakwama katika hili ijulikane kuwa kuna shida kwenye malezi ya mtoto wa namna hii.
Lakini naamini kundi kubwa kati ya hawa wanaodai 'HAKI ZA KIKATIBA' si Tanzania tu, bali mahala pengi ulimwenguni ni wale waliongia humo kwa HABIT! Na hapa ni lazima kuwa wazi...Mashoga wanaongeza namba ya mashoga.
If a person is heterosexual na hajarialize hili..akianza kukutana na shoga huyu anakuwa shoga moja kwa moja! Haijalishi nini ila kuwapa haki za kikatiba ni sawa na kusema kuwa tuwape uhalali wa kuwa-convert vijana wengi kuwa mashoga.

Kuwanyanyapaa ni kosa linalotakiwa kukemewa! LAKINI KUWAPA RUHUSA YA KU-OPERATE PUBLICALLY, ni sawa na kusema waongeze namba yao kwa kunasa vijana wengi ambao hawaja-realise 'their sexual orientation'

MUNGU ATUOKOE NA KANSA HII
 

kichomiz

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
18,520
11,269
Alipokuwa anatamka maneno hayo hakuna muungwana hata mmoja aliyejitolea kumaba vibao huyo kenge? Dawa ni moja wakiingia zangu nawakata mbata PUMBAVU ZAO.
 

Abdulhalim

Platinum Member
Jul 20, 2007
17,112
2,824
Waende zao motoni. Yaani wanataka serikali iache kujishughulisha na real problems ktk jamii iende ikajishughulishe na hawa madume-jike(by choice)? hii itakuwa si haki kwa sisi walipa kodi. Nna mashaka huyo aliyekuwa anachonga atakuwa amewezeshwa na watu wa magharibi kama yaliyotokea kule Malawi. Too stupid and waste of time.
 

utantambua

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,367
319
Kwa vile tushakubaliana na harakati za kudai haki: haki za binadamu, haki za watoto, haki za wanawake nk haki za homosexuals ni suala ambalo halitazuilika litakaposhika kasi the so called gays rights hata kama si leo ni miaka ijayo. Na watakao push agenda hii si mahomosexuals wa hapa bali zitakua ni force kutoka nje sawa na force hizi zilivokua instrumental kupush agenda ya usawa wa kijinsia na kadhalika. Sipendi ma homosexuals lakini I'm afraid suala hili litakapokuja hatutakua ktk (political) position ya kulizuia. Tizama malawi na uganda walivojaribu kutoa adhabu kali walijikuta wakipambana na nguvu na pressure kali toka nje. So kikubwa waungwana tujiandae tu kwa kuendelea kupandikiza maadili mema kwa watoto zetu ili wachukie tabia hii kwa dhati wao binafsi toka moyoni mwao ili tuwe jamii salama.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom