Kwa Hili Isidori Shirima Tunakushukuru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa Hili Isidori Shirima Tunakushukuru

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ndallo, Sep 17, 2011.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,127
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Ikiwa ndio anamalizia muda wake wa ukuu wa mkoa Arusha na kwenda mapunzikoni, wakazi wa jiji la Arusha tunakupongeza sana bwana Isidori kwakuliona hili tatizo la kusimamisha lile zoezi la watoza ushuru wa wrong parking kwa waendesha magari hapa jijini Arusha. Ilikua ni kero kubwa sana kwetu sisi waendesha magari, kwanza hii kazi ingetakiwa iwe ya Traffic na sio wao, yaani unawakuta hawa jamaa wanatembea na lichuma fulani hivi na kuwawekea wenye magari na kudai ushuru wa shilingi elfu 40000 kisa umepaki vibaya na hapo ulipopaki hakuna alama inayoonyesha kua sio halali kupaki hapo, ukiwauliza wapi kibao kinachoonyesha kua umepaki vibaya hawakuelewi na muda huo tayari wameshakuwekea hilo chuma. kweli ilishafikia wakati unaendesha gari lako mwenyewe lakini huna uhuru nalo ilkua ni kero mbaya sana. Asante sana bwana Shirima japokua ulichelewa kusimamisha hili zoezi na tumeshaliwa hela nyingi lakini Mungu akubariki huko unapokwenda kumalizia uzee wako. Naunga mkono hoja.
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nashukuru similiki bastola vinginevyo siku ningekuta gari yangu imepindwa nyororo ningesambaratisha mafuruli yao kwa risasi! Kiukweli unaudhi sana mtu umepark kisha unarudi unakuta kundi la watu wanakusubiri kwa hamu kubwa ili uwahongea wakanywe bia na kutongozea fedha zetu, pumbavu zao sana watoza ushuru wenye mtindo huu.
  Kuna siku nilishuhudia malumbano makali baina ya mama mmoja na mtoza ushuru, kisa kapark ClockTower NMB bank kurudi kisha pigwa mnyororo, halafu kuna mawili

  1. Wanawaonea sana akina mama
  2. Minyororo yao kwa Arusha haina makufuli ishara ya kuwa ni watu wa kutest zali ukizubaa imekula kwako.
  Duuuh kumbe kitufe cha abuse kipo ngoja nikomee hapa maana naweza kuisogelea ban kwa jazba niliyonayo juu ya watu hawa.
   
 3. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,127
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Kuna muwekezaji mmoja mzungu yeye alishawahi wekewa chuma chenye kufuli, hakutaka kuongea mara mbili alikwenda zake kwenye duka la vifaa vya ujenzi akarudi na mkasi wakukatia chuma na akiwa ameambatana na walinzi wake waKisonjo wamebeba mishale yenye sumu, hatujakaa vizuri mzungu akakata lile chuma lenye kufuli halafu akaondoka nalo na wale wasonjo walishakua tayari wamenyooshea ile mishale kwa wale watoza ushuru! Aisee palikua hapatoshi.
   
 4. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,548
  Likes Received: 609
  Trophy Points: 280
  Hii ilikuwa nzuri haswa...
   
 5. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  <br />
  <br />
  i saw that thng mitaa ya metro...
   
 6. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kiukweli waudhi sana,
   
 7. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,127
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Sabry001 kama ulikuwepo mkuu!
   
Loading...