Maafa,maafa, maafa, nani anafuata?

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
12,739
4,165
Mali ya spice islander imezama, watu zaidi ya 100 wateketea kwa moto - kenya, watu 250 wateketea kwa moto DRC, soko la mbeya lateketea kwa moto, ndege yaanguka- wanne wanusurika, ndege yaanguka Angola- abiria wote wapoteza maisha, chombo chazama Pemba- abiria wanusurika....... Whose next.
 
Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
15,332
Mali ya spice islander imezama, watu zaidi ya 100 wateketea kwa moto - kenya, watu 250 wateketea kwa moto DRC, soko la mbeya lateketea kwa moto....... Whose next.

Hivi haya matukio hayakutabiriwa na Marehemu Sheikh Yahya kweli..........................
 
Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,812
12,406
Huu mwezi kuna majanga kwa kweli, tuombe Mungu tuumalize salama.
 
Tikerra

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
1,703
142
Hakina geni hapa,and as we go towards 21 December 2012,the intensity wil increase.Note that date 21 December 2011,it is a very significant one.
Mali ya spice islander imezama, watu zaidi ya 100 wateketea kwa moto - kenya, watu 250 wateketea kwa moto DRC, soko la mbeya lateketea kwa moto, ndege yaanguka- wanne wanusurika, ndege yaanguka Angola- abiria wote wapoteza maisha, chombo chazama Pemba- abiria wanusurika....... Whose next.
 
IGWE

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
9,338
6,884
Hakina geni hapa,and as we go towards 21 December 2012,the intensity wil increase.Note that date 21 December 2011,it is a very significant one.

bila shaka unataka kuleta ile kitu yenu inayoitwa freemason,......mhhhhhhhhhhh
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom