Serikali zetu za kizushi (Michango waliopokea kwa ajili ya waathirika washindwa kumlipia Mgonjwa )

GHIBUU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
4,405
2,953
Wana Jf
Kuna habari nilizipata juzi nilichelewesha kufikisha,inasemekana kuna mgonjwa anajulikana kwa jina la Mzee Nassor alikuwemo katika Mv Spice ilizama huko zanzibar Week iliyopita,mzee huyo alikuwa katika hali mbaya na kukimbizwa muhimbili,alipofika muhimbili ilishindikana kupatiwa matibabu kutokana na fedha.
Cha kusikitisha serikali ya mapinduzi ya znz imepokea mamilioni ya fedha kwa waathirika,pamoja na vifaa vya matibabu na dawa na vyakula.

Jee kweli tunamatumaini gani na serikali zetu hapa nchini ? Tuwaelewe vipi viongozi wetu ?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom