Serekali imeshindwa kuwalinda watu wake ktk majanga yanayotokana na ajali.

MANGUNGO

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Messages
1,538
Points
1,170

MANGUNGO

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2011
1,538 1,170
Wanajamii srekeali yetu ni wazi kuwa imeshindwa mpaka sasa kuhudumia raia wake huduma bora ktk sekta ya afya,elimu,maji,nishati,barabara na ardhi na sisi tumekuwa wavumilivu ktk haya.Chakushangaza MAJANGA ya ajali za kutisha zinazotokana na UZEMBE na MAZINGIRA ya RUSHWA yanazidi kutoa roho za raia na kuongeza walemavu ambao ni mzigo kwa familliia na taifa kwa ujumla,inashangaza kuona chama na kilichoshika atamu ni kilekile na majanga ni yaleyale ya uzembe,na ajabu hawatakaki kuwajibika(kujiudhuru),mfano,mabomu yalipo lipuka mbagala watawala wetu walisema haitatokea tena,haikupita kitambo GONGO LA MBOTO yakalipuka na kusababisha vifo navilema kwa wananchi,MV.BUKOBA ilipozama na kuua mamia ya watu serikali hiii na chama chake hikihiki walisema haitatokea lakini leo maelfu ya watu wamekufa na wengine kupata vilema kwa janga la MV.SPICE ISLANDER,aidha mwaka jana na mwaka juzi MJINI MBEYA kumetikea matukio ya ajali za moto lakini leo tena umetokea na kusababisha hasara kubwa kwa wafanyabiashara wadogo na wa kati lakini viongozi ni wale wale na utawala ni uleule,ajali za barabarni mara kwa mara ikiwemo ya kibaha iliyoua watu 10 jana.ndugu tukumbuke kwamba walio fariki kwa majanga yaliyotokana na uzembe kama haya ni watanzania kama mimi na wewe,ambapo kesho au kesho kutwa yanaweza kutupata kwasababu hizihizi za rushwa na uzembe,hali hii haivumiliki tena!umeme na ugumu wa maisha vinaweza kuvumilika lakini sio vifo vya kizembe ambavyo ni zao la uongozi LEGELEGE,hivyo basi,HUSSEN MWINYI na SHAMSI VWAI NAODHA kama ni wazelendo na wanawapenda watanzania wawajibike,yaani wajiudhuru kwani wameshindwa ktkt hili,ikumbuke ALHAJI HASSAN MWINYI amewahi kujiudhuru vilipotokea vifo pale TABORA ambavyo vilikuwa ni zao la uzembe,mpaka leo mwinyi anabaki kuwa mwenye heshma ktk hilo,hivyo basi SHAMSI na MWINYI kama mnawapenda watanzania mjihudhuru ili tuone kama mna uzalendo wa kweli mnao hubiri kwenye mjuukwaa ya siasa.naomba kuwasilisha.
 

Forum statistics

Threads 1,392,476
Members 528,635
Posts 34,110,158
Top