Wizi mwingine wa airtel

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,100
6,022
Huu mi nauita wizi, na wala sio offer, mwanzo ilikuwa msg 5, unapata msg mia! Hii ilikuwa pouwa sana, kwa mahitaji ya kawaida msg 100 zinatosha.

Sasa wameongeza, wamekuja na msg 10 ukituma unapata nyingine msg 200, ilhali gharama ya msg moja ni zaidi ya Tsh 50...kwahiyo kwa msg 10 ni zaidi ya Tsh 500. Huu ni wizi.
 
Duh,
Asubuhi nlikua nasoma post moja hivi jamaa akilalamika kua Tigo hawataki kumtoa kwenye promosheni yao ambapo wanamkata Tshs 550/= kila siku,
Watu wakashauri jamaa ahamie Airtel,
Sasa hapa jamaa analalamikia hiyo Airtel!!
 
Back
Top Bottom