Middle East
Israeli scientist wins Nobel chemistry prize
An Israeli scientist who suffered years of ridicule and even lost a research post for claiming to have found an entirely new class...
wazee kuna siri gani hapa Tanzania naona wageni wanazidi kuwa wengi tu ukulinga nisha na miaka na nyuma .wageni namaanisha watua ambao sio watanzania. waejazana wanafanya madeal tofauti tofauti...
Wasambazaji sukari wambana Maghembe WASAMBAZAJI wakubwa wa sukari kutoka Kiwanda cha TPC mkoani Kilimanjaro, wameiomba Serikali kutazama upya agizo lake la kuzifutia leseni kampuni hizo kwani...
****in, I hate you TANESCO! Huu mchezo wa kukata na kuwasha umeme mara 20 kwa siku maana yake nini? Mmeshatutia hasara kutuunguzia vifaa na fidia hamtoi! Bora mkate siku nzima tu kama hamna...
Juzi nilinunua camera duka la TOP SHOP Kariakoo,wakanifungia bidhaa yangu kwenye mfuko wa plastic(Lambo) nikaanza kumtukana yule mhindi nikitaka anijuze sababu za kufunga bidhaa hiyo kwenye...
Transfoma ya Tanesco inayosupply umeme Tbc Bamaga hapa jijini Dar es Salaam yawaka moto na kusababisha tafrani kubwa.Source mwenyewe eneo la tukio pictures nitatuma pia video.
Taarifa kutoka Radio One,saa 7:00 mchana.
Waziri mkuu Mizengo Pinda,yupo ziarani nchini Brazili ambako amekutana na waziri wa nishati na madini wa nchi hiyo ili iwasaidie kuondokana na tatizo la...
ITV wametuonyesha jinsi wizara nyeti ya serikali yetu ikifukuzwa na kutolewa nje ya ofisi walizopanga toka kwa NHC kwa kushindwa kulipa pango la mil 30,cha kushangaza television yetu ya taifa...
Dailymotion - BBC Inside Sport - Poland football Racism special report 07. - a Sports & Extreme video
FEATURE : African immigrants face racism in Poland ‘WE VARSOVIANS' People of African...
Kuna taarifa kuwa muda huu kuna mapambano kati ya polisi na wachimbaji wadogowadogo wa dhahabu. Jamaa mmoja amekuwa mjanja na kupata licence kwenye eneo lililokuwa linachimbwa na hao small scale...
waumini wa kanisa Katoliki wa Parokia ya kapalapala wilayani Chunya wametakiwa kumtambua Rais Jakaya Kikwete kuwa mwakilishi wa Mungu. Paroko wa Parokia ya Mlowo wilaya ya Mbozi. Padre Valelius...
Leo mwakilishi wa mtumishi wa Mungu TB JOSHUA ametoa msaada wa Tshs 25mil kusaidia wahanga wa meli...swali langu kwa nini ni ikulu ya Dar na siyo Zanzibar..! ?source: michuziblog.
Wenyeji wanne Mkoani Manyara wilaya ya simanjiro wamepoteza maisha juzi ktk juhudi ya kufunga pampu ya maji ktk shimo walilolichimba ili kujinusuru na ukame unaoikabili maeneo hayo. Ktk hao...
PRESS RELEASE
Dear Alumni, Staff and Friends of the University of Dar es Salaam,
Re: Alumni, Staff (Former & Current) and Friends Dinner Hosted by H.E. the President of the United Republic of...
Kutoka mwanahalisi:
Mtandao wa WLeaks umefichua habari kuwa Balozi wa USA nchini Z'bwe-Charles Ray alipata kudokezwa na balozi Adadi kuwa rais Mugabe na chama chake kimeshindwa kuiongoza nchi...