JK na FUNDRAISING ZAKE AIBU


G

G. Activist

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
482
Likes
14
Points
35
G

G. Activist

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2010
482 14 35
Katika pita pita zangu, nikapita website ya UDSM kunako page ya Announcement nikaona "PRESIDENTIAL FUNDRAISING" Nikawa interested kufuatilia, nikasikitishwa kuona amealika Staff wa Udsm, Friends, na wengineo. kupata dinner ambayo itaambatana na kuwachangisha!!!! Nilisikitishwa sana na hili!! Hivi hawa Staff anawalipa kiasi gani mpaka aanze kuwachangisha!! Halafu mbona hana aibu huyu brother kuchangisha hadi watz tena wenye vipato vya chini!!!!

Hawa jamaa wanaomiliki mabilion na trion hawaoni? si akawachangishe hao!!! Afu hizi wanazoandaa kulipa Dowans c zikafanye kazi ya hizi zitakazoenda changishwa tar 18??!!!!

Inaniuma Wandugu!!!!
 

Forum statistics

Threads 1,238,720
Members 476,123
Posts 29,327,607