Ya Balozi Ray, Adadi Rajab na W/Leaks........................

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,265
4,716
Kutoka mwanahalisi:

Mtandao wa WLeaks umefichua habari kuwa Balozi wa USA nchini Z'bwe-Charles Ray alipata kudokezwa na balozi Adadi kuwa rais Mugabe na chama chake kimeshindwa kuiongoza nchi hiyo.................,
 
Fitna hiyo kwa Adad Rajab.

Je huyo balozi anao ushahidi au ndo katumwa kumtilia mwenzake kitumbua chake mchanga?
 
Back
Top Bottom