Paroko; Rais Kikwete ni mwakilishi wa Mungu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Paroko; Rais Kikwete ni mwakilishi wa Mungu.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by janja pwani, Oct 6, 2011.

 1. j

  janja pwani Senior Member

  #1
  Oct 6, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  waumini wa kanisa Katoliki wa Parokia ya kapalapala wilayani Chunya wametakiwa kumtambua Rais Jakaya Kikwete kuwa mwakilishi wa Mungu. Paroko wa Parokia ya Mlowo wilaya ya Mbozi. Padre Valelius Mandanje alitoa kauli hiyo Jumapili katika ibada Maalum ya Jubilii ya Paroko wa Parokia ya Vwawa wilayani Mbozi, Ezebius Kawana ya kutimiza miaka ya 25 ya Upadri. habari jambo leo.
   
 2. wijei

  wijei JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 468
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Amekosea aliimanisha mwakilishi wa maluhani na mashetani akilindwa kwa karibu kabisa na nguvu za marehemu shekhe Yahya
   
 3. M

  Massenberg JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 1,163
  Likes Received: 1,011
  Trophy Points: 280
  Si ajabu kwa gazeti la Jamba Leo Kunya Kesho kuandika habari kama hiyo. Paroko lazima atakuwa alichanganya vodka kwenye mvinyo siku alipoyaongea hayo matakataka.
   
 4. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,164
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Dini na siasa haviendani,anawapumbaza watu sbb ya imani kwenye mambo yanayowagusa watu wote!!!!
   
 5. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,118
  Likes Received: 3,967
  Trophy Points: 280
  ni mwakilishi wa mungu wa baali.
   
 6. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,723
  Likes Received: 1,228
  Trophy Points: 280
  hapana mwakilishi wa mungu wake bana...period
   
 7. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,952
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Sio rahisi huyo kiongozi wa kanisa kutoa kauli kama hiyo, lazima utakuwa umekosea au ndo unataka kuanzisha mjadala wa ajabu ajabu hapa. Kama Pengo mwenyewe hataki hata kuiona sura ya ****** coz of ukiazi wake, haiwezekani aliye chini yake aongee huo utumbo. Hayo magazeti yanatafuta namna ya kuliingiza kanisa ndani ya ccm, nakwambia hawataweza kamwe. Kanisa lina watu wanaofikiri kwa kutumia kichwa sio kama bakw.....a. wanaotumia masaburi ktk kuwaza na kufanya maamuzi
   
 8. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,564
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  MUNGU yupi anawakilishwa na kiongozi fisadi? Hao ni walewale wanaojikomba kwa viongozi wetu bila kujali umuhimu/ mchango wa kiongozi huyo kwa jamii yetu
   
 9. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 6,952
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Isije kua huyu paroko ni mmoja wa wale mapadri wanao shukiwa ni wauza Unga kama JK alivyonena!
   
 10. Invarbrass

  Invarbrass JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hIII TABIA YA KUMSEMEA MUNGU ITAISHA LINI?
   
 11. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #11
  Oct 6, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,838
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  huh...............so anajipendekeza???
   
 12. Mr.Toyo

  Mr.Toyo JF-Expert Member

  #12
  Oct 6, 2011
  Joined: Feb 9, 2007
  Messages: 433
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sishangai wakimtukuza:
  Maana yeye ana historia ya kupendwa na dini flani kwa kuwa wanasikilizwa matakwa yao na anawachukia dini flani kwa kuwakatalia live kavukavu matakwa yao.

  My take:
  Ingekuwa ni mtenda haki angewapenda watu wa makundi yote.

  Ila naomba Mungu yasijetoke kama ya kuleeee.....
   
 13. K

  Kolero JF-Expert Member

  #13
  Oct 6, 2011
  Joined: Apr 11, 2010
  Messages: 491
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kasahau hata teolojia yake, ni wa kumuonea huruma kwa kupotosha, sidhani kama Mungu anawakilishwa na kiumbe chochote.
   
Loading...