Mbona wageni wanazidi kuongezeka mjini?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,385
wazee kuna siri gani hapa Tanzania naona wageni wanazidi kuwa wengi tu ukulinga nisha na miaka na nyuma .wageni namaanisha watua ambao sio watanzania. waejazana wanafanya madeal tofauti tofauti. kuna siri gani humu?
 
Matango, maembe, mafenesi, machungwa, ubuyu na matunda mengine meeeeengi yanapatikana kwenye shamba la bibi..
Si "Vietnam" zote zinapatikana kwenye hayo matunda..):rip::rip::rip:
 
rural - urban migration sio jambo geni kiasi hicho, unless una maana nyingine
 
Sababu moja ni tuko "loose" sana. Ukiwaambia Polisi yule ni mgeni na sidhani kama anavibali halali vya kuwepo nchini, basi unakuwa kama vile umdwapa mradi wa kuvuna pesa wao wanaita deal.
Binafsi niliwalengesha jamaa wawili, mkongo na mrundi, ambao walifoji majina na vielelezo mpaka wakapata birth certificates toka RITA kwa waheshimiwa Uhamiaji. Waligeuzwa mradi na mpaka sasa wanadunda. Shame on them who left to live illegaly!!

Kwa Dar, Arusha na Moro unaweza ku-site kiurahisi tu, wapi wanaishi wakongo, warundi,wanyarwanda na wasomali hata wakenya.
Jambo la kuwatimua illegal inhabitants ni simple. Mbona Malawi walifanya wakafanikiwa kwanini sisi tushindwe.
 
Dunia ni kijiji, kila mtu anakimbilia kule ambako anaona mambo yake yatanyooka, hata wewe mambo yangekuwa mazuri Moscow usingerudi Bongo.
 
we bana unaelewa au hueleweli....mi nimeuliza swali wewe unakuja unarekebisha editing error.
nenda jukwaa la lugha litakufaa zaidi

Ha ha haaaa.... jamaa anataka kuhamisha lengo!!!!:shock:
 
Tusiwe kama Wakenya jamani, ubinafsi umewajaa hata miongoni mwao. Mipaka aliweka mkoloni, hakuna tofauti kati ya Mmasai wa Loitoktok, Kenya na Longido, Tanganyika. Utu Kwanza, Utaifa baadae!
 
Tusiwe kama Wakenya jamani, ubinafsi umewajaa hata miongoni mwao. Mipaka aliweka mkoloni, hakuna tofauti kati ya Mmasai wa Loitoktok, Kenya na Longido, Tanganyika. Utu Kwanza, Utaifa baadae!

nimemaanisha foreiners
 
Tanzania ndiyo nchi pekee Africa ambayo mtu yeyote kutoka popote anaweza kuishi bila bughudha na kutengeneza fedha nyingi kwa muda mfupi tu. So mkuu Ivuga usishangae watu wako mawindoni
 
Tanzania ndiyo nchi pekee Africa ambayo mtu yeyote kutoka popote anaweza kuishi bila bughudha na kutengeneza fedha nyingi kwa muda mfupi tu. So mkuu Ivuga usishangae watu wako mawindoni

kwa hiyo ndio maana basi hawa jamaa wamejazana humu nchini ee?:help:
 
Tanzania, Tanzania, wageni twawakaribisha....hakuna ugumu kiivo kukaribia Tanzania. Na hisi ndio sababu.
 
Tanzania ndiyo nchi pekee Africa ambayo mtu yeyote kutoka popote anaweza kuishi bila bughudha na kutengeneza fedha nyingi kwa muda mfupi tu. So mkuu Ivuga usishangae watu wako mawindoni

na hakika wanatamba kwa kusifia Tanzania ati pesa iko mchangani haina haja ya kuchimba.
Kazi ipo watanganyika wenzangu... Lets seek national interest first others shall be granted....mmmh! Is it?
Tuendelee kuzubaa na wema wetu wa kijinga halafu tutajuta..!
 
Mbona kuna wabongo wengi tu ambao nao ni wageni huko walipo? tatizo ni ugeni au kuna jingine?
 
wazee kuna siri gani hapa Tanzania naona wageni wanazidi kuwa wengi tu ukulinga nisha na miaka na nyuma .wageni namaanisha watua ambao sio watanzania. waejazana wanafanya madeal tofauti tofauti. kuna siri gani humu?

Ivuga, unazeeka vibaya, nenda eapot,uone wa tz wanavyokwea pipa kwenda kufanya madili dubai, sauzi, london nyuyok mpaka china, nenda nairob uone wabongo wanavyochuuza, wewe hutaki wenzio waje? Naona wewe bado uko ndani ya usingizi- amka ushindane nao la sivyo utabaki kulalama juu ya ujio wa wageni.
 
Back
Top Bottom