Jerry John Rawlings anabaki kuwa mmoja wa viongozi mashuhuri na wenye utata mkubwa katika historia ya kisasa ya Ghana. Uongozi wake ulidumu kwa zaidi ya miongo miwili — kuanzia utawala wa kijeshi...
Kwa Nini usijisamehe ,Utajuta mpka lini?, Moyo umejaa mafadhahiko kwa kumbu kumbu Mbaya , Forget about the past, let's to focus about future.
Fanya hivi ili moyo wako upate Amani
Samehe
Ikiwa...
Wananchiforum ni media mpya Tanzania, ila moto wake sio wa nchi hii.
Media hii haibagui habari, yaani habari nzuri au mabaya za serikali inazipost.
Kutokana na kuwa neutral media hii baada ya...
Usiku wa Oktoba 24, Mchungaji Elieth Eliawaha Mtaita wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Boay katika Jimbo la Babati Vijijini, mkoani Manyara, ametekwa na watu...
JF kufungiwa biashara hazifanyiki kabisa humu asee, traffic imekua chache mno,simu haziiti kabisa tangu TCRA waufungie huu mtandao.
Wateja wa JF sio wa wengi ila hua wamenyooka aloo tofauti na...
Tofauti hizi zinadhihirisha kuwa kanuni ya Biblia haikushuka moja kwa moja kutoka kwa Mungu, bali ilifanyiwa maamuzi na wanadamu hasa viongozi wa kidini katika karne za kwanza. Mfano:
Biblia ya...
"Utapotea kisha utaliliwa kwa Mwezi mmoja na miwili na Watetezi wako watakusahau na maisha yataendelea"
Ninachomaanisha hapa ni kwamba ukiwa nchi za Urusi na Israel uwe na maisha ya Kiasi na...
Jeshi la Polisi mkoani Kigoma, limepokea boti ya doria yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni mia nne, itakayosaidia kuzuia ujangili na wizi ndani ya Ziwa Tanganyika, lakini pia kutumika...
Habari wakuu,
Leo nataka tuzungumze kidogo kuhusu hili suala ambalo limekuwa kama mjadala wa kitaifa — je, mwanaume anatakiwa kujua kupika, au kupika ni kazi ya wanawake pekee?
Kuna hawa wanaume...
ASALAAM ALEYKHUM WADAU,
Aisee bana kuna Askari aitwaye Omari Mnandi, aliyekuwa ameingia katika gari binafsi la Mtu aliyekuwa akijivinjari maeneo ya Picnic, alijisahau akajiachia kama yupo kwenye...
Pale Morogoro msamvu kuna eneo la starehe panaitwa jumba la mawe ni magofu ya zamani sana inasemekana toka 1986 na mpaka Leo hapajaendelezwa ila kuna bar na wanapika kitimoto. Je nani alijenga...
Baadhi ya watu maarufu walioonyesha kuunga mkono harakati meza isipopinduka kwa ninavyowajua hawa miungu watu watawatengenezea zengwe mpaka wakimbie nchi.
ILA PIA NAAMINI HATA KAMA SIO TAREHE 29...
Hii ni hadithi ya Sahih al-Bukhari 5068, kama ilivyoandikwa katika kitabu cha "Kitāb al-Nikāḥ" (Kitabu cha Ndoa):
حَدَّثَنَا مُسَدَّدٌ، حَدَّثَنَا يَزِيدُ بْنُ زُرَيْعٍ، حَدَّثَنَا سَعِيدٌ، عَنْ...
GT
Nijuavyo mimi haya magari nimachache sana kwa kila mkoa, kwa Wilayani ndo.hatari zaidi na kuna baadhi ya wilaya hayapo kabisa wanategemea yatoke mkoani in Case kuna tatizo.
Vilevile hata...
Picha mbalimbali zikiwaonesha Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba wakishiriki katika matembezi ya ukakamavu yaliyoshirikisha vyombo vya ulinzi...
Jeshi la polisi mkoani Manyara limesema linamsaka Juma Almas muumini wa dini ya Kiislam kwa tuhuma za kutoa ushawishi kwa wananchi akiwataka wasipige kura.
Akizungumza leo Oktoba 25, 2025...
Sheikh wa mkoa wa Singida Nassor Yahya amefafanua umuhimu wa kupiga kura ambapo amesema “tukamchague kiongozi tunaemtaka na tusipofanya hivyo atachaguliwa kiongozi tusiemtaka sisi”
Sheikh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.